Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,589
22,151
Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wanaume hukasirika zaidi pale wanapogundua kuwa wanawake zao wanacheat?

Iko hivi...
Watu wengi (hasa wanaume) huamini kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kucheat kuliko wanawake. Kiukweli imani hii ina dosari kitakwimu na haina mantiki. Uwiano wa wanaume na wanawake duniani ni 1:1. Hapo ndipo utagundua kuwa wanaume hawaongozi kwa kucheat kuliko wanawake.

Ukiwa kama mwanaume uliye cheat na mwanamke mwingine huko lodge - ni kipi kinakupa ujasiri wa kuamini kuwa mkeo hajawahi kucheat ama huwa hacheat?
Mzee baba utatulia siku ukielewa kuwa wanawake ni wajanja na wazuri sana katika kujificha kuliko wanaume.

I get shocked kwamba wanaume hutarajia kucheat na kusamehewa - lakini hawawezi kuunga mkono wazo la kwamba wake zao huwa wanacheat. You're living a lie. Hakuna jinsia iliyo na ukiritimba katika kucheat.

If you don't want your wife cheat on you - stop cheating.

Mabadiliko huanzia kwa mimi na wewe . Hatuwezi kutarajia ulimwengu kuwa pahali pazuri wakati sisi ni sehemu ya shida.

Shika hili mwanaume mwenzangu...... "Ikiwa umekuwa ukimcheat mkeo - anajua - hata kama hajakuambia anajua kuwa huwa unamcheat. Mkeo huwa anakuona kila uendako na hao wanawake zako. Kwa majuto mkeo 'hulipiza kisasi' kwa kuliwa bila masharti".

Ukiacha kucheat na mkeo ataacha kucheat.

Ukicheat, mkeo naye atacheat.

Ubarikiwe.
 
Ndio maana watu wengi wenye akili kubwa hawakuwahi kuoa.

20240410_105300.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ndoa haizuii nyege mkuu. Zinakuja tu. Sasa kama huna uwezo wa kuzidhibiti kabla ya ndoa usidhani utaweza baada ya ndoa.
halafu ukutane na mwanamke wa kukupangia ratiba ya kunyanduka..!!

 
halafu ukutane na mwanamke wa kukupangia ratiba ya kunyanduka..!!

Hapo ndo kabisaa beki tatu za majirani hazipo salama.
 
Sasa kama huna uwezo wa kuzidhibiti kabla ya ndoa usidhani utaweza baada ya ndoa.
Uwezo wa kudhibiti nyege kabla ya ndoa upo. Yesu alishauri kuwa ikiwa jicho lako ndio kushawishi kwa wewe kufanya zinaa basi litoboe.
 
Back
Top Bottom