junior

  1. Alban makoa

    Bustani ya Edeni ipo wapi?

    Habari wakuu Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani???? "Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"... Nawasilisha alban
Top