Ndoa ni kwa ajili yako na mwenza wako

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,479
21,953
Huu ni ushauri kwa wanandoa wote....

Haupaswi kukaa kwenye ndoa kwa sababu ya watoto wako au kwa sababu ya jamii inayokuzunguka.

Unapaswa kukaa kwenye ndoa kwa sababu yako, hukuoa wala kuolewa kwa sababu ya watoto au wazazi wako ama jamii.

Upo kwenye ndoa kwa ajili yako, ulitaka mpenzi ukampata, ulitaka urafiki, hupaswi kukaa kwenye ndoa kwa sababu ya pesa, Ila mnaweza kuzitafuta pesa kwa ushirikiano ili msipungukiwe na kibunda wakati wote.

Ndoa ni jukwaa lililowekwa na Mungu si kwa ajili ya mateso bali maisha ya furaha na amani wewe kwenu nyote.

Mke hupaswi kukata tamaa juu ya ndoa eti kwa mumeo amepoteza kazi. Msaidie katika uhitaji usifanye mume apotee katika ulevi akijaribu kukabiliana na ugaidi wako.

Hali kadhalika mume usikatishwe tamaa na mkeo kisa hawezi kunyamaza kukukosoa.

Kwenu nyote wawili..... "Ikiwa mwenza wako sio mwasherati na mnyanyasaji, msiachane bali fanyia kazi ndoa yako.
Hakuna mwenza mkamilifu mjini hii leo.

Usikate tamaa.

Ubarikiwe.
 
Nimeipenda hii
 
umegonga mshononi kabisaa tena kinagaubaga bila chenga yoyoyotree, aise 👊
 
Back
Top Bottom