Wadada wakurupukaji huwadharau sana wakaka wasiopenda kuwatoa out.

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,486
21,955
Ni nadra sana mkaka aliyetulia kumkuta anatapanya hela kwa kutoka out na mdada asiye mkewe.

Ila kuna hawa wakaka wahuni wanaojua kucheza na akili za wadada wakurupukaji.

Huwatoa out na kuvinjari kutoka klabu moja kwenda nyingine usiku kucha wadada wakurupukaji hujiona wamepata mtu wa maana mtu wa ndoto zao mwenye kujua mapenzi, hakika kinadada wakurupukaji husisimuliwa sana na mitoko ya hao wakaka wahuni na kujiona wamepata mtu wa maana.

Kwa wakaka waliotulia,wao hurudi maskani mapema mara baada ya kutoka kazini, hawanaga mizunguko kwenye vilabu, Wala mbwembwe nyingi kiasi kwamba huonekana ni 'washamba' mbele za wadada wakurupukaji.

Ni kweli wanawake wanapenda kuolewa na mwanaume wa tabia njema, Ila hujikuta wakiangukia mikononi mwa wakaka wahuni wanaowatoa out kila mara kwa ajili ya kujifurahisha. Mkaka mhuni humfanya mwanamke acheke, husisimua moyo wake, humwambia hasa kile anachotaka kusikia.

Kwa asili wadada hupenda mtu mwenye tabia thabiti kwa mbali - lakini pia hupenda kukaa karibu na wakaka wahuni kwa sababu "they want to hear naughty jokes - they love being teased and seduced.."

Sasa basi wakaka wahuni wana busara zao, wakisha mchota akili mdada mkurupukaji humchukua na kumpeleka nyumbani na kujilia watakavyo, baada ya muda huhamia kwa mdada mwingine na kumtenda vivyo hivyo. Baada ya yule mdada wa kwanza kubaini kwamba haliwagi peke yake hapo sasa hutafuta Wataalam wa magonjwa ya akili huku akitumia dawa za mfadhaiko ili kudhibiti ndoto mbaya zinazomwandama baada ya kugundua kuwa alikuwa anachezewa tu na mkaka mhuni.

Wadada msiwadharau na kuwaona washamba wakaka wasiopenda kuwatoa out.

Mbarikiwe .
 
Tafuta hela, ukizipata hutajadili haya au kuleta kama mada.
 
Hakika Ulimwengu huwa haukosei kabisa.

Masikini kwa masikini

Muhuni kwa muhuni

Malaya kwa Malaya.

Decent woman with decent man.

Universe haikosei wala kusahau
Si kweli kabisa maisha yapo disruptive in nature, by nature maisha yenyewe hayapendi amani na hayapo kumfanya mtu a settle na ukitaka ku settle ndio maisha yanakuwa against wewe sana....Hili inabidi ulijue kuanzia leo.

So kwenye hizo pair maisha sio rahisi kuwa hivyo mara nyingi

Good man with Bad Girl
Good Girl with Thug
Muhuni kwa mtulivu
Mtulivu kwa muhuni

Labda kwenye uchumi kidogo
 
Sio uhuni kwa uelewa wangu, ni ujanja huo

Yaani unataka umpate mdada bila juhudi yeyote? haiwezekani

Unachangamka, spontaneity is romantic

Hiyo kula na kusepa ndo uhuni
Simply, wanawake wanamjua huyu ni kula na kusepa na ana mademu wengi na ndio wanampenda huyo, akiwa mwanaume mengine mtulivu hana mambo mengi hawamtaki kabisa.....That.

Life is disruptive in nature and a women is disruptive Agents....But talking disruptive nature itself mwanamke ambae anapenda Thug niigata instead good man akiwa kwenye 22's akifika kwenye 30's anataka utulivu anawageukia good man life lina apply tena nature yake Hampshire huyo Goodmayes maana wengi wanakuqa wameoa na ataowapata wanakuwa sio tena pure good man bali Disruptive Agents wa maisha kwake ambao watamuumiza tu.
 
duh, sasa wanajuaje flani ana wanawake wengi?

thug yaani jambazi?

kuna mtu anapenda jambazi?
 
Ni kweli wanawake wanapenda kuolewa na mwanaume wa tabia njema, Ila hujikuta wakiangukia mikononi mwa wakaka wahuni wanaowatoa out kila mara kwa ajili ya kujifurahisha. Mkaka mhuni humfanya mwanamke acheke, husisimua moyo wake, humwambia hasa kile anachotaka kusikia.
 
duh, sasa wanajuaje flani ana wanawake wengi?

thug yaani jambazi?

kuna mtu anapenda jambazi?
Thug sio jambazi mzee, someone with thug life kwaharaka tunasema Muhuni Muhuni, wanawajua sana hata wanaume wanawajua mtaa kitaa tu huku kitaani kwetu yupo jamaa anaitwa Dangote Ana mademu kibao mtu wa mademu, mtu wa party nk but mademu wana prefer huyo kuliko some piece full boy ambae mwanamke akiwanae asilimia kubwa atakuwa wake pekeyake.

Kuna watu hawana Steps nyingi wao wanaweza kumfuata mwanamke Aim ya kuoa na mwanamke anajua huyu anamaanisha na lifestyle yake ina prove But huyo Demu 90% anakataa I huyohuyo Demu akikaa na wenzie stori ipo siku nami nitaolewa akija yule Nigga piga kusepa anamkubali chapu.....as time goes akipata mamba na kuwa dumped anakumbuka kuna kijana mtulivu na muda huo mtulivu kashaoa zake anakuwa single mother kW uouuzi wake mwenyewe.
 
Ni nadra sana mkaka aliyetulia kumkuta anatapanya hela kwa kutoka out na mdada asiye mkewe.

Ila kuna hawa wakaka wahuni wanaojua kucheza na akili za wadada wakurupukaji.

Huwatoa out na kuvinjari kutoka klabu moja kwenda nyingine usiku kucha wadada wakurupukaji hujiona wamepata mtu wa maana mtu wa ndoto zao mwenye kujua mapenzi, hakika kinadada wakurupukaji husisimuliwa sana na mitoko ya hao wakaka wahuni na kujiona wamepata mtu wa maana.

Kwa wakaka waliotulia,wao hurudi maskani mapema mara baada ya kutoka kazini, hawanaga mizunguko kwenye vilabu, Wala mbwembwe nyingi kiasi kwamba huonekana ni 'washamba' mbele za wadada wakurupukaji.

Ni kweli wanawake wanapenda kuolewa na mwanaume wa tabia njema, Ila hujikuta wakiangukia mikononi mwa wakaka wahuni wanaowatoa out kila mara kwa ajili ya kujifurahisha. Mkaka mhuni humfanya mwanamke acheke, husisimua moyo wake, humwambia hasa kile anachotaka kusikia.

Kwa asili wadada hupenda mtu mwenye tabia thabiti kwa mbali - lakini pia hupenda kukaa karibu na wakaka wahuni kwa sababu "they want to hear naughty jokes - they love being teased and seduced.."

Sasa basi wakaka wahuni wana busara zao, wakisha mchota akili mdada mkurupukaji humchukua na kumpeleka nyumbani na kujilia watakavyo, baada ya muda huhamia kwa mdada mwingine na kumtenda vivyo hivyo. Baada ya yule mdada wa kwanza kubaini kwamba haliwagi peke yake hapo sasa hutafuta Wataalam wa magonjwa ya akili huku akitumia dawa za mfadhaiko ili kudhibiti ndoto mbaya zinazomwandama baada ya kugundua kuwa alikuwa anachezewa tu na mkaka mhuni.

Wadada msiwadharau na kuwaona washamba wakaka wasiopenda kuwatoa out.

Mbarikiwe .
Wewe ni jirani yangu nini?
Maana ktk washamba mimi ni wa mwisho.
Hadi wana wananitania kuwa nikikuta kuku wameshaingia sitapewa chakula ndio maana ni lazima niwe ninacheza na watoto wangu baada ya kutoka kazini.

Lkn mimi sioni tabu maana hapa jirani kuna jamaa anamfukuzia single mother,sasa jamaa akija tu mtoto wa yule mama anamrukia ili ambebe,jamaa ili atengeneze mazingira basi anabeba tu hata km dogo ni mchafu.

Mama wa mtoto akisema hacha nimsafishe kwanza jamaa naye ana kataa kwamba hacha ni mbebe,mimi napenda watoto sana.

Lkn sijawahi kumuona amebeba mtoto wake wa kuzaa licha ya kwamba mkewe ndiye anayefua nguo zake hata zikichafuliwa,lkn wa hiyo single mother inaonekana ni halali kumchafulia nguo.
 
Thug sio jambazi mzee, someone with thug life kwaharaka tunasema Muhuni Muhuni, wanawajua sana hata wanaume wanawajua mtaa kitaa tu huku kitaani kwetu yupo jamaa anaitwa Dangote Ana mademu kibao mtu wa mademu, mtu wa party nk but mademu wana prefer huyo kuliko some piece full boy ambae mwanamke akiwanae asilimia kubwa atakuwa wake pekeyake.

Kuna watu hawana Steps nyingi wao wanaweza kumfuata mwanamke Aim ya kuoa na mwanamke anajua huyu anamaanisha na lifestyle yake ina prove But huyo Demu 90% anakataa I huyohuyo Demu akikaa na wenzie stori ipo siku nami nitaolewa akija yule Nigga piga kusepa anamkubali chapu.....as time goes akipata mamba na kuwa dumped anakumbuka kuna kijana mtulivu na muda huo mtulivu kashaoa zake anakuwa single mother kW uouuzi wake mwenyewe.
sikujua tunaongelea teenagers mkuu
 
Back
Top Bottom