Search results

  1. L

    Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  2. L

    Tairi na rim zake size 20 zinauzwa, zimevuliwa kwenye gari

    Tairi zipo 2 rim ziko 4 Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja) Rim pekee laki na 80 Mazungumzo yapo kwa aliyepo serious Year of Manufacture: mwaka jana (2021) katikati Mzigo upo DSM, Sinza Kilimani...
  3. L

    Nissan Dualis inauzwa

    Gari ipo Arusha Haina tatizo lolote, kila kitu ni kizima Bei 15M Mawasiliano: 0621846107
  4. L

    INAUZWA Nauza mashine ya kusafishia taa

    Nina mashine ya kusafishia taa (headlamp restoration), hii hutumika kusafishia taa za gari zenye ukungu. ~ Bei yake naiuza 110,000, discount ipo. ~ Napatikana Mabibo, Daresalaam. Mawasiliano: 0621846107 (call/text/WhatsApp)
  5. L

    Kiukweli hiki ndiyo kimefanya Ney wa Mitego na Harmonize waonekane wameuharibu wimbo wa Kontawa "Champion"

    Wimbo wa champion at first time niliuona kwenye status ya rafiki yangu, maneno yake yalinivutia hasa pale anaposema "tumeishi na watu wanaoamini kuwa bahati bahati zote alipangiwa Bukuku" enewei kila neno aliloimba Kontawa linavutia. Wengi waliskiliza kipande cha Kontawa ila walipofika sehemu...
  6. L

    Nauza Diagnosis tool ndogo kwa ajili ya European Cars

    Habari wakuu, Nina diagnosis scan tool aina ya LAFOCH ML-168 kwa ajili ya Magari ya Ulaya mf: BMW, Benz, Audi na Volkswagen, au gari yoyote Kama Nissan, Toyota ambayo ni imported from Europe Kifaa hiki kinamfaa mtu kwenye gari lake binafsi ili akipata changamoto aweze kutrace tatizo mwenyewe...
  7. L

    Kama ni mkazi wa Arusha na taa za gari yako zina ukungu au zimefubaa karibu tukung'arishie kwa bei nafuu

    Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka. Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa. Tupigie kwa simu namba 0621 846107 (call/WhatsApp). Huna haja ya kutembelea taa isiyomulika vizuri kwa...
  8. L

    Hospitali ya Manispaa ya Kahama, kitengo cha maabara huduma hairidhishi

    Leo nimeenda saa 6 pale Kahama Mjini hospital ya Manispaa kwa lengo la kuchangia damu (kwa hiari) nimefika saa 6 kamiliena kuripoti maabara ili niweze kupatiwa hudima kama ambavyo tunahamasishwa kuchangia damu kuokoa uhai. Kwanza naenda kuripoti dirishani naambiwa nisubiri, nikasubiri mpaka saa...
  9. L

    Nahitaji kuwa professional wa Auto diagnostics na Immobilizer system, ni chuo gani naweza somea?

    Habari waku, mimi ni kijana nnayejihusisha na ufundi wa magari kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa, napatikana Arusha mjini. Katika shughuli zangu nilifanikiwa kununua Mashine yangu ya diagnosis kutoka China Aina ya Launch X431 V+ na nikaanza kazi ya diagnosis kama extra coz bado nipo...
  10. L

    Naomba ufafanunuzi wa mkanganyiko juu ya concept ya torque na horsepower

    Habari wakuu! Kwa muda mrefu nimekuwa nikapata changamoto ya kutofautisha kati ya torque na horsepower. Katika jitihada zangu za kusoma nimeelewa kwa sehemu kidogo lakini kuna jambo linanichanganya kuhusu concept hiyo ambayo imenipelekea kuja kuuliza swali humu. Taking a case study of an IC...
  11. L

    Kero: watu kukaa dukani wakati hawanunui bidhaa

    Habari wajumbe! Leo nimeona niongelee hili suala la tabia ya watu kujijaza dukani hasa wakati wa usiku na hawanunui kitu inavyokwamisha biashara. Mimi kama mteja nimeshawai ahirisha kwenda kununua bidhaa kwenye baadhi ya maduka coz unakuta watu wamekaa tu na wameziba nafasi ya wateja ambao...
  12. L

    Nahitaji car diagnosis software ya kutumia kwenye PC pamoja na OBD2 cable

    Habari wajumbe! Nahitaji hiyo car diagnosis software, nilijaribu kutafuta moja inayoitwa techstream ila sikufanikiwa kuifanyia installation, hivyo kwa ambaye anaweza kuwa nayo please tell me.
  13. L

    Tasnia ya ufundi wa magari imejaa watu wasio na elimu, wasomi tunakwama wapi?

    Kama kichwa kinavyojieleza! Mimi nikiwa mhitimu wa fani ya Uhandisi wa Mitambo (Mechanical Engineering) katika moja ya vyuo hapa nchini, nimeamua kujikita katika tasnia hiyo ya ufundi magari ili nizidi kuongeza ujuzi. Lakini kitu cha kushangaza nimekuta asilimia kubwa ya watu walio mahiri...
  14. L

    kuhusu Usalama barabarani (tujadiliane hapa)

    Kwa wale madereva na watumiaji wote wa barabara, karibuni hapa tujadili kuhusu changamoto mbalimbali ambazo tunakutana nazo tuwapo barabarani na kuzipatia ufumbuzi. na kama una swali liweke hapa!
  15. L

    Nawezaje kujiajiri na elimu yangu ya diploma (Mechanical eng)

    Habari wakuu, naomba mnishauri katika hili. Niko mbioni kumaliza elimu yangu ya diploma ya Mechanical engineering, na baada ya kumaliza nitahitaji kutumia elimu yangu iweze kunipatia pesa. Je ni shughuli/biashara gani nayoweza kuanzia kwa level yangu ya kielimu?
  16. L

    Ninapoingia online, PC yangu inaniletea matangazo (ads) ambayo siyataki

    Habari wakuu, kwa siku kadhaa nimekuwa kila nikiunganisha pc kwenye internet yanakuja matangazo ambayo sihitaji kuyaona na mengine ambayo yanaweza kunipotezea heshima (mfano: betting, relationships and sex) naomba msaada namna naweza kufanya ili nisiyaone matangazo hayo.
  17. L

    Ni chuo gani kizuri zaidi kwa kusomea degree ya automobile engineering hapa East Africa?

    Habari wakuu! Mimi ni mwanafunzi wa last year, diploma in mechanical engineering, ninahitaji kusoma degree ya automobile baada ya kumaliza diploma.. Je, ni chuo gani kizuri hapa East Africa ambacho nikisomea degree husika nitatoka nikiwa competent? Hata kama ni nje ya East Africa, kama si mbali...
  18. L

    Kwa sababu ya yaliyonipata sioni hamu tena ya kumtumikia Mungu

    wapendwa wana JF mimi ni mwanafunzi ninasoma diploma katika moja ya vyuo hapa tz, katika maisha ya chuo nimekuwa serious kumtumikia Mungu. Lakini nimejikuta nakutana na mambo magumu. Nimekuwa najikuta ninafeli mitihani, nimekuwa naishi maisha ya kukosa pesa, nimejikuta nina msongo wa mawazo si...
  19. L

    NATAFUTA "PART TIME" JOB

    Habar wakuu! mimi nipo Mbeya mjini, ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa 2 stashahada. natafuta "part time job" ambayo naweza nikafanya huku nikiwa naendelea kusoma kulingana na kiwango changu cha elimu. Qualifications: I am fluent in swahili and English, written and spoken I am...
  20. L

    Nahitaji msaada, kwa hali yangu ya kuwa disappointed kwa mambo madogo

    Naombeni msaada, Nimekuwa na shida hii toka zamani, huwa nikifanya mistake ndogo tu, nakuwa disappointed sana. Kuna wakati naweza nikakaa sina raha siku nzima au hata zaidi lakini jambo jenyewe linalonifanya niwe hivyo ni dogo sana ambalo hata mtu mwingine akisikia ananishangaa sana. Kuna...
Back
Top Bottom