Little Dreamer
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 178
- 149
Naombeni msaada,
Nimekuwa na shida hii toka zamani, huwa nikifanya mistake ndogo tu, nakuwa disappointed sana. Kuna wakati naweza nikakaa sina raha siku nzima au hata zaidi lakini jambo jenyewe linalonifanya niwe hivyo ni dogo sana ambalo hata mtu mwingine akisikia ananishangaa sana.
Kuna kipindi nilitaka niombe kupostpon masomo baada ya hali hiyo kuwa chronic. Nimejikuta mistakes ni jambo la kawaida lakini mimi kwangu ni changamoto sana, and i can't live a perfect life.
Sometimes ninapofanya mistakes huwa najikuta natumia pesa vibaya, siongei na watu, pia nawaona watu ya kuwa hawanijali.
Naombeni msaada niondokane na hali hii.
I AM TIRED OF IT BECAUSE IT LEADS ME INTO TROUBLE