Nawezaje kujiajiri na elimu yangu ya diploma (Mechanical eng)

Little Dreamer

Senior Member
Sep 12, 2017
178
149
Habari wakuu, naomba mnishauri katika hili. Niko mbioni kumaliza elimu yangu ya diploma ya Mechanical engineering, na baada ya kumaliza nitahitaji kutumia elimu yangu iweze kunipatia pesa. Je ni shughuli/biashara gani nayoweza kuanzia kwa level yangu ya kielimu?
 
Kwasababu course ya mechanical ni wide sana najua mmesoma vitu vingi ikiwemo uchomeleaji yaani (welding) mmesoma design za machine mbal mbal pengne mkawa mnadesign kwa kutumia software kama solidworks/AutoCAD so unauzoefu sana na cha kukushauri mm kulingana na uzoefu wa hayo mambo hapo funguen mechanical metal workshop mnakuwa mna design sofa coaches, vitanda, frames za madirisha magate mnatengneza majiko ya kuchomea nyama mnatengneneza mashne hizi za kusaga na kukoboa nafaka sio ghari sana kwa kuanzisha sidhan kama hata 2million inafika kwa kuanzia then mnakuwa updated sana huko baadae mnakuwa mnadesign vtu vya kisasa mfano following attachment
FB_IMG_1552805751558.jpeg
IMG-20190322-WA0017.jpeg
FB_IMG_1552805744949.jpeg
 
Kwasababu course ya mechanical ni wide sana najua mmesoma vitu vingi ikiwemo uchomeleaji yaani (welding) mmesoma design za machine mbal mbal pengne mkawa mnadesign kwa kutumia software kama solidworks/AutoCAD so unauzoefu sana na cha kukushauri mm kulingana na uzoefu wa hayo mambo hapo funguen mechanical metal workshop mnakuwa mna design sofa coaches, vitanda, frames za madirisha magate mnatengneza majiko ya kuchomea nyama mnatengneneza mashne hizi za kusaga na kukoboa nafaka sio ghari sana kwa kuanzisha sidhan kama hata 2million inafika kwa kuanzia then mnakuwa updated sana huko baadae mnakuwa mnadesign vtu vya kisasa mfano following attachmentView attachment 1082553View attachment 1082554View attachment 1082555
Noted sir, thanks very much
 
Sorry, kama nitakua natoka nje ya mada BUT swali hili ulitakiwa kujiuliza toka siku ya kwanza wakati unafikiria usomee nini diploma ingekurahisishia kujua unapoingia msituni ni mnyama gani unamuwinda. Ila haujachelewa nice move wadau watakushauri mambo mazuri tu hapa!
 
Hapana mkuu hoja yako nakupinga.
Kibongobongo ni watu wachache sana ambao walisoma kwa plan na kujuwa kwamba watakuja kuwa nani baadae.
Wengi huwa tukifika Semister ya mwisho chuoni ndio tunaanza kuchekecha tuingie vipi mtaani.
Kwa hyo kwa kifupi dogo hajachelewa bado yupo kwenye wakati sahihi kuulizia Jambo hili.
 
Kwasababu course ya mechanical ni wide sana najua mmesoma vitu vingi ikiwemo uchomeleaji yaani (welding) mmesoma design za machine mbal mbal pengne mkawa mnadesign kwa kutumia software kama solidworks/AutoCAD so unauzoefu sana na cha kukushauri mm kulingana na uzoefu wa hayo mambo hapo funguen mechanical metal workshop mnakuwa mna design sofa coaches, vitanda, frames za madirisha magate mnatengneza majiko ya kuchomea nyama mnatengneneza mashne hizi za kusaga na kukoboa nafaka sio ghari sana kwa kuanzisha sidhan kama hata 2million inafika kwa kuanzia then mnakuwa updated sana huko baadae mnakuwa mnadesign vtu vya kisasa mfano following attachmentView attachment 1082553View attachment 1082554View attachment 1082555
Hahah unaweza kudesign engine ya Gari from scratch..nataka nianzishe kiwanda cha magari so tunaweza fanya partnership
Ku design mifumo ni kazi ya injinia sio fundi mchundo (diploma holder).
 
Kama bado upo chuo thats good/ na kama usha graduate n nice. Nakuuliza kwanza una hand experience kweny mechanics? Af ntaendelea
 
Kama bado upo chuo thats good/ na kama usha graduate n nice. Nakuuliza kwanza una hand experience kweny mechanics? Af ntaendelea
nina experiance kwa kiac cha mwanafunzi katika welding and fabrication, automotive technology, na machine shop (ingawa bado naendelea kujifunza) ...Ndo nipo mwaka wa mwisho nina miezi kama miwili na kdogo niingie mtaani...
 
Haloo ni hizo tu ndo module ulizomaster?
 
Kwa vyuo vya ufundi kama practical znapgwa kweli si mchezo ndo mana nkauliza hvyo mana hata mimi natokea huko nlichukua mech eng
Amemaanisha amesoma masomo mengi ila hizo ndio module ambazo anazimudu practically.
Si unajua Engineering is not about only theories but practical matters.
 
Back
Top Bottom