Ni chuo gani kizuri zaidi kwa kusomea degree ya automobile engineering hapa East Africa?

Little Dreamer

Senior Member
Sep 12, 2017
178
149
Habari wakuu! Mimi ni mwanafunzi wa last year, diploma in mechanical engineering, ninahitaji kusoma degree ya automobile baada ya kumaliza diploma.. Je, ni chuo gani kizuri hapa East Africa ambacho nikisomea degree husika nitatoka nikiwa competent?
Hata kama ni nje ya East Africa, kama si mbali sana naweza kupamudu
 
Kusoma kuwa competent ni juhudi zako, uwezo wa chuo unachukua % chache tuu.

Bila shaka unawajua baadhi ya watu uliosoma nao darasani diploma na wamekuzidi uwezo wa Darasani na wa pratical. Kama chuo ni factor kwann watu wakuzidi na wakati umesoma nao.


Issue ni uwezo wako binafsi. Ndio maana kuna watu wapo mtaani tu gereji chini ya muembe na wanapiga kazi balaa.

Kama Target yako ni kuwa na Bachelor degree ya automobile Eng. Basi soma Nenda NIT. Ila kuwa Fundi/ eng. Mzuri hiyo ni juhudi yako

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Back
Top Bottom