NATAFUTA "PART TIME" JOB

Little Dreamer

Senior Member
Sep 12, 2017
178
149
Habar wakuu!
mimi nipo Mbeya mjini, ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa 2 stashahada. natafuta "part time job" ambayo naweza nikafanya huku nikiwa naendelea kusoma kulingana na kiwango changu cha elimu.
Qualifications: I am fluent in swahili and English, written and spoken
I am good at Mathematics
Computer literate
taaluma yangu ni form four (CSEE), pia Technician in mechanical engineering na nipo naendelea na masomo.
shukrani!
 
Chuo Gan unasoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom