Search results

  1. Wakulonga

    Saa chache kabla mtu hajafa

    Kwa mujibu wa uislam mtu anapokaribia kufariki huonyeshwa matendo yote alofanya katika maisha yake. Kisha huonyeshwa mafikio yake eidha motoni au peponi. Sasa wanasayansi wa leo wame prove hilo Je,wajua kinachopita akilini mwako unapokaribia kufa?-Utafiti Saa 7 zilizopita CHANZO CHA PICHA...
  2. Wakulonga

    Research shows the more expensive your wedding, the lower the chances of living 'happily ever after'

    In 1964, Paul McCartney of the Beatles famously sang, “I don’t care too much for money, money can’t buy me love.” While Mr. McCartney’s sentiments were definitely a major foreshadowing of the hippie, free-love movement that was to come in the ‘60s, it appears as though he was also onto a big...
  3. Wakulonga

    Mwanamke amkata mumewe Korodani akidai hazina faida

    Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata...
  4. Wakulonga

    Msaada wa ushauri

    Habari wana JF Mwanangu ni mdogo wa kiume ana umri wa miaka miwili na miezi mitatu. Lakin kila uume wake ukisimama analamika anesema anaumia na kuuvuta huku akitaka mama yake amkune. Nimempelela hospital akapewa dawa imekuwa kama kazidishwa sasa sijui tatizo ni nin. Msaada plz katika hili
  5. Wakulonga

    Haya ni mawe gani

    Habari wandugu Mwenye kujua aina ya mawe haya basi anijuze
  6. Wakulonga

    Msaada wa haraka wa kumtahiri mtoto

    Habari wa JF Nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua hospitali nzuri kwa kutahiri watoto anijuze
  7. Wakulonga

    Watengenezaji wa pombe walioipa jina linalomaanisha ''nywele za siri'' waomba msamaha Canada

    Watengenezaji wa pombe nchini Canada wamelazimika kuomba msamaha kwa kuipatia pombe jina ambalo katika jamii ya Maori kwa kawaida hutumiwa kutaja ''nywele za sehemu za siri''. Watengenezaji wa pombe wa kampuni ya Hell's Basement Brewery mjini Alberta walisema kuwa walitangaza kinywaji...
  8. Wakulonga

    Kuvaa barakoa kwenye Ofisi za Serikali lazima?

    Habari Wanajamvi, Ndugu zangu naomba kuuliza hivi kuvaa barakoa kwenye ofisi za serikali ni lazima? Maana jana mke wangu alimpeleka mtoto clinic walikataaa kumhudumia mtoto kisa mama mtu hakuvaa barokoa Sasa hawa watu Hawaendi kinyume na Mh. Rais maana Mh Rais ameshasema kuvaa barakoa isiwe...
  9. Wakulonga

    Je, mabati bora yasiopauka ni Kampuni gani?

    Habari wana jamvi. Naomba kuuliza je mabati bora yasiopauka kwa haraka ni kampuni gani. Na shilingi napi kwa meter
  10. Wakulonga

    Njemba ajisalimisha polisi akiwa uchi kwa kumuogopa mjeshi baada ya kumfumania na mkewe

    Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha kituo cha polisi cha Embakasi Jijini Nairobi akiwa hana nguo baada ya kukimbia kutoka kwenye fumanizi nyumbani kwa mke wa Mwanajeshi. Imeelezwa kuwa mume wa mwanamke huyo ambaye ni Mwanajeshi alirudi ghafla nyumbani bila taarifa na kumkuta mkewe na...
  11. Wakulonga

    Haya sasa jionee kazi ya Pweza

    Jamani haina haja ya kutafuta vumbi la kongo au konyaji mambo yapo kwa pweza
  12. Wakulonga

    Takwimu za Corona zinatia shaka, si kwa Afrika hata kwa mabeberu

    Habari wana JF Ndugu zangu hizi takwimu zitolewazo na nchi husika mimi naona bado zina ukakasi sio tu kwa Africa hata kwa mabeberu inawezakana vip nchi kama Uingereza na Spain toka ugonjwa uingie huko hakuna aliyepona hata mmoja hii inaingia akilini kweli. Hivi kwenye ugonjwa huu mbona mabeberu...
  13. Wakulonga

    Wale ambo tulikuwa wabishi kusajili line za simu kwa alama za vidole na mpaka leo zinatinga tukutane hapa

    Mimi nilikuwa miongoni mwa watu ambao nichukulia poa zoezi la kisajili laini kwa alama za vidole nikajua tz ndo zetu huwa mambo hayaishi na ni kweli mapka leo laini yangu inapiga mzigo mwanzo mwenga. Je wewe uzimiwa au inapiga mzigo
  14. Wakulonga

    Soko la dunia lipo nchi gani

    Habari wana JF Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu ==== Majibu
  15. Wakulonga

    Ingekuwa vipi?

    Ingekuwa vp kama mbuzi katoliki angeambukiza COVID-19 je waliaji wa huyu mnyama mngendelea kula Au ingekuwa inaambukizwa kwa njia ya kujamiiana je wazinifu wangeendelea kizini? Take care COVID-19 kills
  16. Wakulonga

    Hivi unapata wapi ujasiri wa kumtukana mwanamke?

    Katika dunia kuna jambo ambalo huwa linafikirisha sana, kila mtu anapoamua kumtukana mtu lazima ataje sehemu za siri za mwanamke. Hivi huyu mwanamke ameikosea nini dunia hii hata sehemu yake ya siri ndo iwe tusi kubwa kuliko yote. Tukumbuke kwamba hiyo sehemu inayokuwa tusi ndo kila mmoja wetu...
  17. Wakulonga

    Uzi wa wenye simu za iPhone

    Habari wajanja wa mujini, Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi. Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
  18. Wakulonga

    Baadhi ya waandishi wa habari wanatia aibu

    Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani tasnia ya habari inavyopoteza weledi wake siku hadi siku.
  19. Wakulonga

    Kuwanyima watu haki ya kuishi

    Habari wana JF, Kila nikijaribu kudadavua kauli ya Marekani zidi ya RC Makonda wana maana gani, jibu sipati. Mara najiuliza au kuuwa watu wasio na hatia ndiyo kuwanyima haki ya kuishi. Kama jibu ndiyo hilo, je wale watu waliokufa na wanaoendelea kufa katika nchi kama Iraq, Libya, Somalia...
  20. Wakulonga

    Miaka 20 ya utawala wa Rais wa Urusi katika picha

    Picha mbali mbali zinazomuonyesha rais wa Urusi Wakati wa utawala wake wa miaka 20 Vladimir Putin: Miaka 20 ya uongozi ndani ya picha 20
Back
Top Bottom