Je, mabati bora yasiopauka ni Kampuni gani?

Je, mabati bora yasiopauka ni Kampuni gani?

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza je mabati bora yasiopauka kwa haraka ni kampuni gani. Na shilingi napi kwa meter
 
Alaf na Ando, Mimi nilitumia Ando na ni mwaka mmoja sasa na hayajafubaa
 
Tantu Building Materials Co Ltd. Warrant miaka 10 kama upo nje ya dar es salaam ukichukua pc kuanzia 80 usafiri bure hafi ulipo
IMG-20200701-WA0002.jpg
IMG-20200701-WA0004.jpg
 
Naomba number inbox nikutumie pdf inayooneka vizuri nimeshindwa kuapload pdf apa
 
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza je mabati bora yasiopauka kwa haraka ni kampuni gani. Na shilingi napi kwa meter
Kiboko ya rangi hautajuta.
Mwaka wa4 sasa 30g blue imechuchumaa kama nimeezeka jana.

Pia kiboko aluminium ni meupe(color less)hayapati kutu, yakikaa muda mrefu yanafubaa tu mg'ao bila kutu.

Bei yake nilinunua lak3 kwa bando, bei elekezi ya leo siifahamu.
 
Back
Top Bottom