Msaada wa haraka wa kumtahiri mtoto

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
1,967
2,000
Ana mwaka na nusu mwingine ana miezi sita
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,658

mmmhhhh!!!!!!
 
mchumi tumbo

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
754
1,000
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Mkuu hii uliyoleta ni chai kabisa, kibamia na kuwahi kutahiri kunahusiana nn?.
Tena sasa hv govi linapigwa vita sana kwa sababu linasababisha maradhi mbalimbali kwa mtoto hasa hasa UTI,
 
Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
682
1,000
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Hiyo sasa mpya mzee baba! Kwa sisi waislam haitakiwi mtoto kucheleweshwa akue na mkono wa sweta.
 
1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,749
2,000
Naomba uwaze vizuri maamuzi yako mkuu utafanya watoto waje waishi maisha ya unyonge sana mbeleni.....kwanini umuwahishe mtoto kutahiriwa?

Iko hivi ukiwahi mtahiri mtoto akiwa katika umri huo ujue ukuaji wa dudu utaathirika na watakuwa na vibamia... Subiri mtoto akue kwanza bila kupata bugudha za kulea kidonda.....hata akienda akiwa darasa la 5 au 6 ni sawa zaidi ila sio umri huo
Hoja yako haina Mashiko.
Kutahiriwa hakuna formula ya mwaka maalumu.
Hata mtoto wa siku 8 anaweza kukatwa zunka lake.
Na isiathiri ukuaji wa Kidudu chake,kibamia na kutahiriwa hakuna mahusiano yeyote.
Umekua mjuzi kuliko aliyeleta agano la kutahiriwa?

Mtoto wa siku nane.
Genesis 17:12
"Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu...."

Miaka 13
Genesis 17:25
"Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake."

Miaka 99
Genesis 17:24
"Naye Ibrahimu alikuwa mwenye umri wa miaka tisini na kenda alipotahiriwa nyama ya govi lake."
 
mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
1,040
2,000
mie sisemi kitu ila ushahidi ninao ambao ni viseverse ya hili ulilolisema
Watakubishia ila hata mimi najiuliza watu wasiotahiriwa ni ngumu kukuta wana upungufu wa nguvu za kiume. Angalia idadi ya wahanga mijini ni kubwa mpaka utashangaaa..wengi mtazamo wangu uondoaji wa prepuse unachangia irrectirity ya watu baadae na hili hutokana na madokta wengi kuwakosea namna ya kutairi wakiwa wadogo...!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom