Soko la dunia lipo nchi gani

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
651
1,000
Habari wana JF

Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu

====
Majibu

Hahahahaha swali zuri sana

Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.

Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.

Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.

Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.

Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
 
devor

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
872
1,000
Ulishajiuliza wanakopanga viwango au thamani za fedha ni wapi? Haya mambo huenda yapo kinadharia tu Ndio maana juzi wamesema vitunguu vimepanda bei kwenye soko la Dunia shinyanga.

Kama lipo labda Marekani kule alikolipua Osama.
Linaweza likawa jibu sema hajafafanua vyema sanaa kakuongezea maswali
 
Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,075
2,000
Hahahahaha swali zuri sana

Anyway ipo hivi, soko tunajua ni sehemu bidhaa zinapouzwa. Yaani mfano mtu ukitaka kununua viatu unaenda kariakoo, ukitaka kununua ndizi unaenda soko la mabibo, ukitaka mchele unaenda mbeya au Morogoro, ukitaka korosho utazipata Mtwara.

Kwa hiyo ina maana soko la bidhaa fulani ni mahali ambapo unaweza kuipata bidhaa ile kwa wingi na ambapo utaipata kwa bei yenye ufanisi kwa kuwa ndipo inapopatikana kwa wingi.

Kwa hiyo soko la dunia sasa, ni popote pale kwenye nchi tofauti tofauti ambapo bidhaa fulani inakuwa inazalishwa kwa wingi.

Mfano Thailand wanalima mchele kwa wingi kuliko nchi yoyote duniani, hivo basi unaposikia soko la dunia la mchele maana yake hilo soko lipo Thailand. Na hata bei elekezi unayoiona hapo ina maana ndo bei iliyopo kule Thailand.

Ki urahisi kabisa, wewe shika tu kwamba soko la dunia la kitu fulani linapatikana pale ambapo bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi. Kwa sababu huko ndipo kutakuwa kuna muhimili imara wa ku determine bei ya soko iwe vipi.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,819

Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
 
bwege nazi

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
705

Yani mie ndo mnazidi kuniacha! Mie nilijua labda kuna pande fulani huko kwa wenzetu vimbwanga vyote vinapatikana huko inaweza ikawa labda nyuuyoki au amstadam au landani kumbe sio😯
 
Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,202
2,000
Imenibidi nicheke.

Nakumbuka miaka flani nilitumia akili na nguvu kubwa sana kuwafundisha na kuwaelimisha ndugu zangu tena wengine walikua na elimu ya chuo kikuu kuhusu soko la Dunia.

Sasa hapa kuona hili swali imenibidi nikumbuke miaka ile nicheke.
 
Masasaa

JF-Expert Member
Oct 23, 2015
451
500
Soko ni nini kwanza? Anzia hapo ndio utaelewa

Stay home, stay safe
Corona kills
 
Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,202
2,000
Umeelezea vizuri sana lakini hapo uliposema soko la dunia la mchele (kulingana na mfano wako) litakuwa Thailand ndiyo sikubaliani na wewe. Soko la dunia ni term inayotumika tu kuonyesha upatikanaji na bei wa bidhaa fulani duniani. Ni kama mtu anaposema ukienda Kariakoo hiki kiatu kinapatikana kwa urahisi zaidi. Kariakoo hapa itakuwa inawakalisha duka lolote lenye ile bidhaa inayozungumzwa.
Uko sahihi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom