Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Watafute wagane au wenzao masingledady..!
 
Hahahaa
Watu wako careless sana halaf wanakwambia eti ukipenda ua sjui pebda na boga lake, hata sjui ule msemo.

Ina niumiza sanaa wadada wanapewa mimba hovyo hovyo sku hizi


hapana aisee maana mabinti wamezidi kuzalia nyumbani imekuwa kama fashion sasa.
 
Siku akiitwa na baba mtoto wake kwamba anaumwa akamtunze utajua yepi yanaendakujili, akiambiwa wa kumbushie!!
Hahahaaa. Kumbe hicho tu. Mmh.

Kama kukumbushia anaweza kuwa asiye na mtoto ila kabla yako alikuwa na boyfriend na mwisho wa siku akaamua kukumbushia na wakakumbishia vilevile.

Hivyo kote kuna athari Mkuu.
 
Hili la mabinti kuzalishwa inaongezeka kwa kasi, wengi wao ni wale ambao hawajajitambua zaidi ya kujua kuvua chupi.

Kwa hawa wanawake, siamini kama kuna mwanamke anapenda kuwa single mom, ila hutokea tuu labda mwanaume anakuja kukubadilikia baada ya ujauzito au baada ya mtoto kuzaliwa.

Hapa pande zote mbili zilaumiwe, mwanamke na mwanaume pia! Na utambue kama hujamuoa mwanamke bikra huna sababu ya kukashifu maana kama hajatoa mimba basi ni mtaalamu zaidi ndo maana hajanasa!
 
Unaongea as if hizo mimba wanakua wameokota sperms mtaani wanajitumbukizia kwenye papuchi zao na mtoto anakuja.
Hamna ndio maana nimelaumu pande zote lakini nasisitiza kina dada kwa sababu you let guys slide in and hanibg their nuts open carelesly. Kuna namna mbali mbali za kuzuia mimba. Wafanye hivo.
Hii kitu imekuwa kubwa sana sku hizi.
 
Hahahaaa. Kumbe hicho tu. Mmh.

Kama kukumbushia anaweza kuwa asiye na mtoto ila kabla yako alikuwa wake na boyfriend na mwisho wa siku akaamua kukumbushia na wakakumbishia vilevile.

Hivyo kote kuna athari Mkuu.
Daaaah!! Ilo nalo neno ila imani ya kuibiwa ata Mali wakaanza kuwekeza kisili sili ni kubwa sana na akiona umeishiwa atasepa wakaanze maisha na huyo jamaa ni kubwa sana!!, Imani nao mie binafsi haipo kabisa!!
 
Daaaah!! Ilo nalo neno ila imani ya kuibiwa ata Mali wakaanza kuwekeza kisili sili ni kubwa sana na akiona umeishiwa atasepa wakaanze maisha na huyo jamaa ni kubwa sana!!, Imani nao mie binafsi haipo kabisa!!
Umeona sasa Mkuu. Tukiwaza kwa undani sana ni kuomba Mungu tu akuonyeshe mwanamke aliye bora iwe ni Single mother ama la.

Sababu mwisho wa siku ukiingia pabaya unaweza juta Mkuu.
 
Hahahaa. Lol.
Ndiyo, hivyo ukiguswa natana kabisa, ukijifanya kauzu utagundua mwenzako ni zaidi ya kauzu..!

Mimi mwanamke wakuning'ang'ania huyo ndiyo atawine penzi langu na kulimiliki.
ANGALIZO:
Uwe ni akili kubwa pia siyo akili za kushikiwa.
 
Back
Top Bottom