nyungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagu wa Malunde

    #COVID19 Waziri Gwajima, tumia busara na elimu yako kuinadi chanjo ya UVIKO -19, usitumie mabavu kama ulivyoinadi nyungu na Bupeji

    Wewe waziri wa afya kama daktari msomi mpaka leo dunia nzima ilikushangaa sana pale ulipokaa mbele ya kamera za wanahabari ukajifukiza na kisha kunywa mchanganyiko wa malimao, tangawizi na pilipili na kuwaaminisha Watanzania kuwa hiyo ni kinga na tiba ya Uviko-19. Limekuja suala la chanjo ya...
  2. N

    #COVID19 Waziri Gwajima Achana na mambo ya chanjo, Serikali nzima imekuangushia mzigo peke yako

    Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe. JPM kafariki Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
  3. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo ya COVID19 kuanza kutolewa kwa Makundi ya kipaumbele

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali imepokea Dozi 1,058,400 tu hivyo Makundi ya Kipaumbele yatakayopewa ni Watumishi wa Sekta ya Afya waliomstari wa mbele, Wenye umri wa miaka 50 na zaidi na Wenye Magonjwa Sugu Makundi mengine yataendelea kupata chanjo kadiri Serikali...
  4. Jackwillpower

    Nyungu ni bora zaidi ya hizo chanjo tunazoletewa

    Hivi hizo chanjo dozi million (1) ambazo wameleta kuwafanyia watanzania (wananchi ) majaribio wakati sisi tupo zaid ya 50 milion ma zaidi na...
  5. GUSSIE

    #COVID19 Kigeugeu cha CCM: Leo wasema Chanjo ni bora kuliko Nyungu

    Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona. Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule waliokubaliana enzi za John Pombe Magufuli kuwa chanjo hazifai. Wanafiki na wachumia tumbo wanatumia kauli ya...
  6. S

    Rais Samia na Mwinyi achaneni na nyungu, itafuteni Sotrovimab mtuletee WaTanzania

    Ni dawa inayosemekana inatibu covidi kwa asilimia miamoja na pia kuwaepusha wagonjwa katika chumba cha kusubiria kifo. Nenda kaguguli uone huko duniani kumebadilika. When was Sotrovimab approved? The European Medicines Agency approved Sotrovimab for select COVID-19 patients on May...
  7. Nyani Ngabu

    Kibanda cha kupigia nyungu Muhimbili bado kipo?

    Hii nchi ina vituko sana aisee! Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka. Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda? Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu? Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo...
  8. Shujaa Mwendazake

    Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

    "Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri" Mh. Hamis...
  9. MK254

    Watanzania wameshauriwa kuondoa hicho kituko cha nyungu kilicho Muhimbili na waanze kufuata mbinu za sayansi

    Kuna huyu mbunge wa Tanzania ambaye ni CCM kindakindaki anayeitwa Hamis Kigwangalla, ameshauri waondoe hicho kitu walichoweka kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili na kuanza kukumbatia mifumo na mbinu za kisayansi ili kukabiliana na corona. Inachekesha sana maana hawa waliimba sana mapambio...
  10. Analogia Malenga

    Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

    Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo. Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge...
  11. Sky Eclat

    Kipindi cha Kipanya; tukishapiga nyungu tupewe vyeti

    Chanjo hamleti basi tupeni vyeti tukishapiga nyungu na sisi tuonyeshe tunavyopigana na COVID.
  12. Miss Zomboko

    Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika...
  13. Cannabis

    Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano...
  14. Nyankurungu2020

    #COVID19 Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma atengeneza sehemu maalumu ya kupiga nyungu kwa wapiga kura wake

    Mapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake. Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!
  15. J

    Askofu Gamanywa: Jumapili itakuwa ni siku ya kupiga nyungu kuu kuliko zote pale Kanisani kwetu!

    Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa. Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa...
  16. E

    Kupiga nyungu kwa kiingereza (kitaalamu) wanaita Steam Therapy

    Habari za leo wakuu, Leo nimekuja na somo tamu la kupiga nyungu. Japo kuna baadhi ya wenzetu hasa wa upande wa pili wamekua wakibeza somo la kupiga nyungu. Lakini ukweli ni kwamba Kupiga nyungu ni tiba ambayo hata wazungu wanaitumia sana kutibu magonjwa yanayo athiri mifumo ya upumuaji...
  17. BAK

    Mazungumzo kuhusu nyungu na chanjo ya COVID-19

    MIMI NA YEYE Yeye: Wewe endelea kuwatetea wazungu. Sisi ni matajiri na wao wanatuonea wivu. Hayo machanjo yao wasituletee. Mimi: Kuna chanjo ngapi unazojua tunapewa na zinatoka kwa wazungu? Yeye: Zipo nyingi lakini mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya UKIMWI? Mimi: Unajua ARV na CONDOMs...
  18. S

    Jicho la tatu: Kauli ya Jafo kutangaza wiki ya nyungu, ni maandalizi ya kuikubali na kuipokea chanjo ya corona

    Hivi ndivyo ninavyoweza kuitafsri kauli hii ya Suleiman Jafo ya kutangaza wiki ya nyungu iliyopewa jina la season 3. Wamegundua hawawezi kwenda kinyume na Ulimwengu, ila tatizo likawa ni namna gani ya kujirudi na kukiri tatizo lipo, waweze kuandaa mazingira ya kukubali na kuipokea chanjo wakati...
Back
Top Bottom