Rais Samia na Mwinyi achaneni na nyungu, itafuteni Sotrovimab mtuletee WaTanzania

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,942
3,818
Ni dawa inayosemekana inatibu covidi kwa asilimia miamoja na pia kuwaepusha wagonjwa katika chumba cha kusubiria kifo. Nenda kaguguli uone huko duniani kumebadilika.

When was Sotrovimab approved?​

The European Medicines Agency approved Sotrovimab for select COVID-19 patients on May 21, 2021. The United States Food and Drug Administration provided emergency use approval (EUA) to Sotrovimab, which it classifies as an ‘investigational monoclonal antibody therapy’, on May 26.

The UAE Ministry of Health and Prevention (MoHAP) went on to approve the therapy days later, on May 29.

Why is Sotrovimab called an investigational therapy?​

The therapy received an emergency-use approval or EUA, rather than a Food and Drug Administration approval in the US. This means that the US body that approves medications followed an atypical development and approval process due to the public health emergency created by the COVID-19 pandemic. Under an EUA, in an emergency, the FDA makes a product available to the public, based on the best available evidence, without waiting for all the evidence that would be needed for FDA approval or clearance.
 
Na kuna nchi zinapata misaada ya Chanjo na madawa bure ,Ruanda,Indonesia nahizi ni wakati wa kukutana na mabalozi wa nchi zinazosaidia ili nasi tusaidiwe.
Katwangilo matusi ya nini au wewe umezaliwa na mbegu ya nguruwe.
 
Kama tungelikkuwa na nia, tuna uwezo wa kuboresha uwezo wetu wa ndani ambao tayari umefanya vizuri.

Tusaidie wabunifu wetu wa ndani kuzalisha dadwa nyingi na kuiboresha, kisha tutumie kodi kuhakikisha kila kaya ndani ya nchi inapata dawa kama Baycaro ambayo pia ni kinga na imesajiriwa katika idara yetu ya tiba asili.

Tusaidie umoja wa wazalishaji wa dawa watengeneze association itakayokuwa na majibu si kwa covid tu, bali hata changamoto zingine za ndani na nje.

Tukisubiri watu wengine wafanye tafiti juu ya miili yetu, ama kukaa chini watengeneze madawa sisi tununue/sijui tupewe lazima tutaharuki kwa sababu hata hao wanaojifanya kutusaidie, wanafurahia taharuki zetu.

Tukiinue viwango vyetu vya ndani, bila shaka tutafanikiwa na tukijitosheleza kwa chakula na dawa, utakuwa tunamwelekeo sahihi katika kupigania uhuru wetu.

Kwani Bupiji ,Covidol,Nimricaf,Covinil hazifanyi ka
 
Kuliko kutumia hizo chanjo zitakazotufanya tuwe gmo, bora tupatiwe hizi sotrovimab ambazo hazina madhara kwa binadamu
 
Kama tungelikkuwa na nia, tuna uwezo wa kuboresha uwezo wetu wa ndani ambao tayari umefanya vizuri.

Tusaidie wabunifu wetu wa ndani kuzalisha dadwa nyingi na kuiboresha, kisha tutumie kodi kuhakikisha kila kaya ndani ya nchi inapata dawa kama Baycaro ambayo pia ni kinga na imesajiriwa katika idara yetu ya tiba asili.

Tusaidie umoja wa wazalishaji wa dawa watengeneze association itakayokuwa na majibu si kwa covid tu, bali hata changamoto zingine za ndani na nje.

Tukisubiri watu wengine wafanye tafiti juu ya miili yetu, ama kukaa chini watengeneze madawa sisi tununue/sijui tupewe lazima tutaharuki kwa sababu hata hao wanaojifanya kutusaidie, wanafurahia taharuki zetu.

Tukiinue viwango vyetu vya ndani, bila shaka tutafanikiwa na tukijitosheleza kwa chakula na dawa, utakuwa tunamwelekeo sahihi katika kupigania uhuru wetu.

Dawa zetu za mti shamba sio mbaya ila hazina vipimo,utaambiwa kunywa gilasi moja matokeo yake ,unalala kutwa nzima.
 
Ni dawa inayosemekana inatibu covidi kwa asilimia miamoja na pia kuwaepusha wagonjwa katika chumba cha kusubiria kifo. Nenda kaguguli uone huko duniani kumebadilika.

When was Sotrovimab approved?​

The European Medicines Agency approved Sotrovimab for select COVID-19 patients on May 21, 2021. The United States Food and Drug Administration provided emergency use approval (EUA) to Sotrovimab, which it classifies as an ‘investigational monoclonal antibody therapy’, on May 26.

The UAE Ministry of Health and Prevention (MoHAP) went on to approve the therapy days later, on May 29.

Why is Sotrovimab called an investigational therapy?​

The therapy received an emergency-use approval or EUA, rather than a Food and Drug Administration approval in the US. This means that the US body that approves medications followed an atypical development and approval process due to the public health emergency created by the COVID-19 pandemic. Under an EUA, in an emergency, the FDA makes a product available to the public, based on the best available evidence, without waiting for all the evidence that would be needed for FDA approval or clearance.
Unajua kusoma medical literature wewe? Taratibu ndugu yangu.
 
Ukisikia dalili usijipe pressure jifukize na tumia formula ya kienyeji ya malimao tangawizi na kadhalika na ile juice ilinywewa na Waziri wa afya.Ukifa kwa corona usije kutupigia yowe humu
 
Back
Top Bottom