msiba wa taifa

  1. dubu

    Walioimba Kwaya kwenye Msiba wa Magufuli mbona siwasikii huu wakiimba kuhusu DP World Msiba wa Taifa?

    Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi? Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
  2. Analogia Malenga

    Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

    Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo. Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge...
  3. GUSSIE

    Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021 Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo...
  4. Zegota

    Akili za mjinga: kwenye huu msiba wa taifa sijaona watu wakipewa msosi na hamna complain, huku kwetu swahili bila menu msiba unabaki peke yako

    Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza...
  5. tikatika

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
  6. musa_ali

    Kwa anayemfahamu Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa Arusha TUWASILIANE.

    Habari wakuu, Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu alikuwa anafuatilia post ya Ualimu na nyaraka zinaonyesha/referr wake ni Mwl. Iddi Tlaghasi Hera wa...
Back
Top Bottom