kiapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Jemedari Saidi: Masikini hana kiapo wala chaguo

    "Tuviheshimu sana vilabu vyenye viwanja vyao na tuwaunge mkono, Azam FC, Mtibwa Sugar, IHEFU kabla ya kuuzwa na kutelekeza uwanja na JKT Tanzania, angalia Simba SC wanavyodhalilika ma viwanja vya CCM vya zamani vimechoka na miundombinu hafifu." "Simba nao hawana kiwanja lakini wamekuwa...
  2. S

    Ni hatua gani zinastahili kuchukuliwa endapo Rais atavunja Katiba kwa kukusudia au kutokukusudia?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, kwamba ikiwa iko wazi na dhahiri kabisa kwamba raisi wa Tanzania anaekuwa madarakani, anaamua kwa makusudi na huku akijua hilo, au kwa kushauriwa vibaya, au kwa kutoelewa, anavunja Katiba ya Tanzania (yaani kufanya uamuzi au kuchukua hatua inayoenda kinyume...
  3. Uhakika Bro

    Kwa wakristu wote, imfikie hadi papa, wazo la kuboresha kiapo cha ndoa cha kikristu

    Mambo yanasonga na dunia inabadilika. Kama tuliweza kukaa na kujadili tunafanyeje kuhusu masuala ya ndoa na ubatizo wa watu wale, basi tunaweza kukaa na kujadili kuboresha mambo mbalimbali. Siamini kama maelekezo yote yanatoka top down tu. Naamini yanaweza pia kutoka down up. Maji yakapanda...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Bahati Ndingo ala kiapo cha uaminifu Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Bahati Ndingo amekula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson wakati wa kikao cha Bunge leo October 31 Jijini Dodoma. Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge umeanza ambapo shughuli ya kwanza katika Kikao cha Kwanza cilikuwa ni Spika wa Bunge, Mhe...
  5. Replica

    Wanawake wanajua kupiga shangwe, Bahati Keneth Ndingo aapa kiapo cha uaminifu jimbo la Mbarali

    Leo bungeni, mbunge wa Mbarali ameapa kiapo cha uaminifu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Mbarali. Jimbo hilo liliingia kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mbunge wake, Francis Leonard kufariki dunia Julai Mosi, 2023. Wabunge wanawake wa chama cha mapinduzi walijifunga kibwebwe na...
  6. K

    Hebu tukitafakari kiapo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Mimi .............. naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nitalinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyowekwa kisheria. Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie. Mimi ................ naapa nitatenda kazi zangu za Urais wa Jamhuri ya Tanzania kwa...
  7. I

    NIDA wamekosea jina kisha wanataka mtu akafanye kiapo

    Habari wandugu na poleni na kazi, Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
  8. H

    Ukila kiapo kitunze na usijisahau ukajiona uko juu ya kiapo

    kiapo ni ahadi ya mwisho ya uaminifu wako,mala nyingi viapo huwa rahisi kuvitunza hasa pale unapokuwa ni mgeni kuingia katikati ya hicho kiapo, lakini kadri ya siku zinavyokwenda mtu anaweza kukizoea kiapo na akajisahau alikula kiapo. Mliokula viapo msijisahau, muwe waaminifu katika viapo...
  9. Stephano Mgendanyi

    Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua

    Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Dkt. Rashid ChuaChua amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepeleka Shilingi Milioni 446 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Maji wa...
  10. Carlos The Jackal

    Mahakama Uganda, yamwamuru Mwanamke ( Slay ueen a.k.a Gold digger) Kumlipa Mwanaume (Sponsa) Kwa kosa la Kuvunja Kiapo Cha ahadi ya Kuolewa naye !!.

    Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe. Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ... Dai chako !!!! Dai Chako.!! KATAA WIZI !!KATAA KUIBIWA !! Kuna kipindi nmewahi msikiliza Mwanasheria Mmoja akitoa Elimu ya...
  11. Mparee2

    Kutumia Quran/ Biblia kwenye kiapo kuangaliwe upya

    Nimekuwa natafakari hili jambo la kutumia Quran/Biblia kwenye kiapo naona kama halipo sawa; kwani linakosa uhalisia; hii ni kwa sababu zifuatazo; 1. Kile kinacho apiwa hakitumii sheria wala taratibu za dini husika. 2. Kuapa kwa kutumia kitabu kitakatifu na ndani ya muda mfupi mtu aende...
  12. Mwl Athumani Ramadhani

    Nitateua Makatibu Wakuu wa Wizara Wanajeshi waliokula Kiapo cha Kifo nikishika hatamu

    Wakuu KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika. ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI katika wizara mbalimbali nchini,ipo haja ya kuteua kada ambayo itakula kiapo cha KIFO!kabla ya...
  13. Jabali la Siasa

    EALA: Kinana na Shaka wawafunda Wabunge wa CCM walioapa, Mnyaa wa CUF ndani, ACT Wazalendo hawakubahatika CHADEMA walisusa

    WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC. Viongozi...
  14. S

    SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  15. BARD AI

    Marekani: Jaji aagiza hati ya kiapo iliyoruhusu FBI kumpekua Donald Trump kuwekwa hadharani

    Jaji Bruce Reinhart kutoka Mahakama inayosikiliza kesi hiyo, ameiamuru Idara ya Haki kufikia saa 1:00 jioni leo Agosti 26, 2022 iwe imeweka hadharani Hati ya Kiapo ambayo iliruhusu upekuzi wa FBI kwenye nyumba ya Rais wa zamani, Donald Trump. Reinhart amesema Idara ya Haki ina haki ya kuficha...
  16. Suzy Elias

    Ni ipi sababu ya kuteguliwa Rafael Chegeni kabla ya kiapo cha Mkuu wa Mkoa?

    Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza. Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa...
  17. nyehura

    Manara amtaka Waziri Mchengerwa asimamie haki ya kiapo chake cha Katiba

    Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda...
  18. mudy92

    Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

    Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
  19. M

    Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
Back
Top Bottom