betri za simu

  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya EU: Betri za Simu Zibadilishwe na mtumiaji.

    Kuanzia mwaka 2027, Ulaya inashinikiza watengenezaji wa simu na kompyuta mpakato (tablets) kubuni vifaa vyenye betri ambazo watumiaji wanaweza kuzibadilisha kwa urahisi zaidi. Kanuni hii ni sehemu ya juhudi pana zaidi za kufanya vifaa vya kielektroniki vidumu kwa muda mrefu na kupunguza taka...
  2. Epateletech

    JamiiForums Tanzania Vioo na betri za simu kwa pixel na iphone

    Leo nikupe mkeka mpya kabisa wa bei nafuu kwa wale wenye shida za matengenezo ya simu zao Epateletech tuko ubungo mawasiliano 0757937196 HIGH CAPACITY BATTERY FOR GOOGLE PIXEL ALL SERIES PIXEL BATTERY 🔋 REPLACEMENT 3 - 25,000 3A - 30,000 3XL - 30,000 4 - 40,000 4A - 40,000 4XL - 40,000 5 -...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Betri za Redio zikiisha Nguvu huwa tunazianika Juani Kisha tutaendelea Kuzitumia je, Betri za Simu zikianza Kupungua Nguvu tunafanyaje?

    Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kifaa sahihi cha kupima uwezo wa betri za simu

    Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada betri ya simu, aina: Freetel Priori 4

    Msaada.. Natafuta betri ya simu, aina ya simu: Freetel Priori 4
Back
Top Bottom