trekta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. snochet

    INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  2. Chivundu

    Kuna wimbi kubwa la wamiliki wa Trekta hizi Hybrid kuziuza miezi michache baada ya kuzitumia au kuzikopa

    Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia? Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo miaka kibao.
  3. bongo dili

    Hivi ukikopa trekta unaweza toboa?

    Wazo la kukopa trekta HP 50 kulima mashamba yako kukodisha Mara chache ili upate mafuta.Kulima heka 600 yaani eka 20 kwa siku. Mazao ni yale yasiyo na changamoto nyingi mfano kunde, karanga,mtama,mihogo,viazi vitamu,mbaazi,njugu. mategemeo ni gunia 1000 kwa msimu mmoja wa zao moja wapo. HP 50...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Hii trekta millioni 46 tu

    Hii chombo bei yake ni Millioni 46 tu. Kama unahitaji, jichange piga hii simu haraka 0747744895.
  5. bon NIC

    Wapi naweza kukodi trekta na kwa bei gani? Nikiwa Dar

    Wadau za mida Naomba msaada kujua bei ya kukodi trekta kwa Dar Es Salaam na pia kama kuna yeyote mwenye mawasiliano ya wapi naweza kulipata untaarifu kwa 0678 151 275
  6. M

    Wadau wa trekta, Mahindra vipi?

    Habari, wadau nnaomba kuwasilisha hapa jukwaani, kuna aina mbalimbali za trekta hapa bongo, nimeona watu wanazungumzia sana Holland, Ford, Sonalika, Swaraj na mengineyo lakini sijaona sehemu wanayozungumzia Mahindra wakati nikiangalia kwenye mitandao wanasema ndo ya kwanza kwa mauzo. Maswali...
  7. JanguKamaJangu

    TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
  8. Mama Debora

    TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022. Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST! Dereva wa Trekta akakimbia! Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
  9. L

    Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  10. Chachu Ombara

    Bariadi: Watu 7 wafariki katika ajali iliyohusisha Bajaji na lori

    Watu 7 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lenye namba za usajili T172 AUP, ambalo liligongana na Bajaj yenye namba za usajili MC 426 CFQ. Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori kugonga...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Ushuhuda: Wauzaji wa Trekta Afrika Kusini

    Hodi huku Kumekuwa na nyuzi humu zikijadili uimara wa trekhlta zinazouzwa mitandaoni South Afrika. Uimara huo umekuwa ukitiliwa mashaka kulinganisha na bei ya trekta hizo. Ukiingia kwenye mitandao mingi utagundua bei ya trekta zilizotumika muda mfupi zikiuzwa mpaka milioni 15. Achana na stori...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Nidokeze haya kuhusu Trekta za South Afrika

    1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika. 2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine 3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje? 4.Nimeona wanauza Massey MF 290 4WD. Hizi ni MF za namna gani maana nimezoea MF 290 ni 2WD. Kuna kipindi nilichat na...
  13. MPUNGA MMOJA

    Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

    Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi. Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao. Nchi imejaa UZEMBE SANA. 80% ya zao...
  14. MPUNGA MMOJA

    Powertiller (kubota) trekta ya matairi mawili iliyokuja kufanya mapinduzi ya kilimo cha mpunga Tanzania

    POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
  15. Cannabis

    Kenya: Familia yalazimika kutumia trekta kusafirisha maiti sababu ya barabara mbovu

    Familia ya Kirui ililazimika kutumia trekta kuusafirisha mwili wa mpendwa wao kutoka hifadhi ya maiti kutokana na hali mbovu ya barabara iliyosababishwa na mvua kubwa. Mwili huo ulikuwa unasafirishwa hadi kijiji cha Kapsita kwa ajili ya mazishi jinsi Citizen TV ilivyoripoti Ijumaa, Septemba 11...
  16. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 SAU wazindua Kampeni na Ilani kwa vitendo. Watumia Trekta Kulima kuonesha dhamira ya Kumtoa Mtanzania kwenye Jembe la Mkono

    Salaam Wakuu, Chama cha sauti ya umma (SAU) Kimezindua Kampeni na Ilani kwa Vitendo, Baada ya Kutumia Trekta kama mfano wa Jinsi Watanzania Watakavyokuwa Wanalima Pindi Wakipewa Nafasi ya Kuongoza Nchi. Wamezindua kwa kuvuna Miwa na Viazi Shambani. Uzinduzi wa ilani umefanyika kivitendo katika...
  17. YEHODAYA

    Wakulima tumieni pikipiki kulimia shambani. Sio lazima uwe trekta pikipiki inatosha

    Pikipiki ni bei rahisi kuliko trekta na inaweza tumika kulimia
  18. B

    Tuuze tembo halafu tununue matrekta

    Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu...
Back
Top Bottom