Sifa zilizofichwa za Android unazopaswa Kuzitumia | Hidden Android features you should be using

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Hakikisha unatumia vidokezo hivi vya Android ili upate mengi zaidi kutoka kwenye kifaa chako. Idadi kubwa ya mbinu na vidokezo vyenye manufaa vilivyofichwa ndani ya vifaa vya Android ni sehemu kubwa ya sababu kwa nini ni baadhi ya simu bora. Kujua hata chache kati yake kutakusaidia kupata zaidi kutoka kwenye simu yako ya Android.

Android imekuwepo kwa muda mrefu na ina watumiaji waliojitolea na wenye maarifa, kwa hivyo nanafahamu vizuri kwamba wasomaji wanaweza kujua baadhi ya vipengele hivi vya siri. Naamini kwamba angalau moja au mbili zitakuwa mpya kwako.

Kumbuka: Ili kuhakikisha unaweza kutumia vipengele vyote vilivyoorodheshwa hapa chini, utataka kifaa chako kiwe na angalau toleo la Android 14.

1. Wezesha Chaguzi za Watengenezaji Android (Android Developer Option)
Hii ni lango la kupata upatikanaji wa mipangilio mingi ambayo watumiaji wengi wa Android hawaijui. Unaweza kubadilisha mambo kama vile idadi kubwa ya vifaa vya Bluetooth vilivyounganishwa mara moja au kurekebisha kikomo cha michakato ya nyuma (background processes) ili simu yako isichukue mzigo mwingi kwa wakati mmoja. Chaguzi za watengenezaji hukupa udhibiti wa mtumiaji wa nguvu juu ya kifaa chako. Jihadhari usiharibu chochote usichokifahamu, kwani baadhi ya mipangilio inaweza kuharibu sana usanidi wa simu yako.

I. Fungua Setting App, bonyeza About the phone, kisha bonyeza Build number mara 7.

II. Ingiza nenosiri lako la kupita kisha rudi kwenye settings menu. Bonyeza System Settings na kisha Developer Options.

(Kwenye kifaa cha Samsung, bonyeza Software Information, kisha bonyeza Build number mara 7).

2. Futa Vidakuzi (Cookies)
Matangazo yaliyobinafsishwa ni moja ya mambo yenye kero kubwa katika maisha ya kisasa, na wakati huwezi kuepuka kila mahali, kufuta vidakuzi kutoka kwa kivinjari cha simu yako ni njia nzuri ya kupata faragha yako tena. Jina "vidakuzi (cookies)" linaweza kuonekana kuwa halina madhara, lakini hii ni kanuni kwa watafutaji kukusanya data kuhusu matumizi yako. Kwa bahati nzuri, kwenye Android, ni rahisi kufuta vidakuzi kwenye Chrome.

I. Kwenye Chrome, bonyeza mistari mitatu pembeni, kisha bonyeza History. Sasa bonyeza clear browsing data.

II. Chagua sanduku la Muda wa Kuteua ili kufuta kila Kidakuzi na bonyeza All Time. Sasa chagua sanduku la Tiki la Vidakuzi na Data ya Tovuti na bonyeza clear data.

3. Zuia Data ya Nyuma (Background Data)
Hii ni njia nzuri ya kuongeza maisha ya betri ya simu yako na kuzuia usipungue data wiki tatu kabla ya mpango wako.

Kuna wingi wa programu ambazo karibu kila mtu anatumia ambazo mara kwa mara refresh upya na kutafuta muunganisho wa Wi-Fi katika background. Kuzima hii ni njia nzuri ya kufanya simu yako idumu muda mrefu, lakini pia itakazuia kupokea notification kutoka WhatsApp isipokuwa ikiwa kwa sasa imefunguliwa kwenye simu yako. Upande mzuri ni kwamba, unapounganisha tena Wi-Fi

I. Fungua setting na bonyeza Mobile Network, kisha Data Usage.

II. Bonyeza Data Saving, kisha kubadilisha Data saving on.

III. Kufanya mabadiliko kwa programu fulani, bonyeza Unrestricted Apps na ubadilishe programu yoyote iliyoachiliwa.

4. Skrini Iliyogawanywa
Ingawa sio sawa kabisa na kuwa na simu mbili mara moja, kutumia skrini zilizogawanywa kwenye Android ni muhimu kwa wale wanaotaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja; isipokuwa una maono mazuri au simu kubwa, inaweza kuwa bora kutumia skrini zilizogawanywa kwenye moja ya tablets bora za Android. Si programu zote zinapatikana kwa skrini zilizogawanywa, lakini nyingi kati ya zile zinazoongoza zinafaa.

I. Swipe up kuonyesha kikapu chako cha programu.

II. Bonyeza kitufe cha menu, kisha bonyeza Split Screen.

III. Fungua another app na drag the margin kurekebisha mgawo.

5. Tazama Mitandao Yote ya Wi-Fi Iliyohifadhiwa
Unaweza kuona mitandao yote ya Wi-Fi uliyoihifadhi kwenye simu yako mahali pamoja, ambayo ni ya kusaidia sana. Ikiwa mtandao umekufa, au huna tena ruhusa ya kutumia (kama kazi ya zamani), unaweza kuufuta kutoka kwenye mitandao yako iliyoahifadhiwa na kuacha kuunganisha kiotomatiki.

I. Fungua Setting na bonyeza Wi-Fi.

II. Bonyeza three dots na chagua Advanced Setting.

III. Bonyeza Saved Networks kuona na kusimamia mitandao iliyopita.

6. Angalia Historia ya Notifications
Ikiwa wewe ni mmoja wa watu maarufu ambao hupata ujumbe zaidi ya Santa mwezi wa Desemba, inaweza kuwa rahisi kukosa notifications kwenye simu yako. Bahati nzuri, kwenye Android, unaweza kurudia kila notification uliyoipokea.

Kumbuka, Android inahifadhi tu notification kwa saa 24 (ili kuzuia kupungua kasi), kwa hivyo huwezi kurudi nyuma sana.

I. Fungua Setting, bonyeza Notification, kisha bonyeza more settings.

II. Bonyeza Notification History na kisha weka ON. Wakati utapopokea notification nyingine, itaonekana hapo kwa masaa 24.

7. Kutumia Simu Kwa Mkono Mmoja
Ikiwa huna mojawapo ya simu ndogo bora lakini bado unataka kudhibiti kila kitu kwa mkono mmoja, una bahati! Karibu simu zote za Android zina kipengele cha kutumia kwa mkono mmoja. Kwa kusogeza skrini, screen interface ya mtumiaji kitashuka chini na kuwa rahisi kufikia. Hii ni muhimu sana kwa wale wenye matatizo ya ufikiaji na yeyote mwenye mikono midogo ambaye anaweza kupata ugumu kufikia sehemu fulani za skrini.

I. Fungua Setting App na bonyeza System Settings.

II. Bonyeza One-handed Mode na geuza njia ya kutumia kwa mkono mmoja kuwa "on".

III. Kutumia njia ya kutumia kwa mkono mmoja, swipe at the bottom of the screen.

8. Share Nywila ya Wi-Fi kwa Kutumia Msimbo wa QR

Fikiria umeshamaliza kumwambia kila mgeni nywila ya Wi-Fi au uko katika kikundi kikubwa kinachotaka kuunganisha. Katika kesi hiyo, unaweza kuepuka kuchanganyikiwa kuhusu herufi kubwa au ndogo na mambo mengine kwa kuzalisha msimbo wa QR badala yake. Unachohitaji ni kifaa cha Android kilichounganishwa tayari kwenye mtandao; kila mtu mwingine anaweza kuusoma kwa kutumia vifaa vyao na kuunganisha mara moja. Ni bora uwe umekwishajiunganisha kwenye mtandao wa Wi-Fi ili kushiriki nywila yako.

I. Fungua Wi-Fi menu na bonyeza gear kando ya network.

II. Bonyeza QR code au Share.

9. Weka Kikomo cha Data
Kwa huduma za kustream, mitandao ya kijamii na programu nyingine zinazoendelea kutumia kiasi cha data tunachoruhusiwa, inaweza kuwa rahisi kuzidi kikomo chako. Kwa kipengele hiki, si tu unaweza kuokoa malipo yasiyotarajiwa, lakini pia unaweza kuweka kikomo cha data yako kwa matumizi ya kila mwezi na kila siku. Ikiwa unaweka kikomo chako chini ya kikomo cha mpango wako, unaweza kuweka data kwa wakati unapohitajika au kufanya matumizi makubwa ya data mwishoni mwa mwezi!

I. Fungua Settings na bonyeza Mobile Networks, kisha bonyeza Data Usage.

II. Bonyeza Data Usage Limit na chagua daily or monthly limit.

III. Ingiza ruzuku yako ya data kwa kila siku/mwezi na chagua ikiwa unataka onyo au simu yako isimamishe data mara moja.

10. Weka Taarifa za Afya kwa Wahudumu wa kwanza (First Responders).
Kwa matumaini, kamwe hutahitaji kutumia hii, lakini simu yako inaweza kuhifadhi taarifa muhimu za matibabu kwa wahudumu wa kwanza kukusaidia katika dharura. Hata hivyo, ikiwa huwezi kusaidia na una nambari ya siri, kugusa au utambuzi wa uso uliowekwa, inaweza kuwa ngumu kwao kupata.

Kutumia mipangilio ya Taarifa za Matibabu, yeyote anayekupata anaweza kuona taarifa muhimu yoyote, kama vile kundi la damu au allergies, ambayo unapaswa kushiriki kupitia ukurasa wa simu ya dharura. Kipengele hiki kinachukua muda mfupi kuweka lakini kinaweza kuokoa maisha yako.

I. Fungua Setting App na bonyeza Safety and Emergency

II. Bonyeza Medical Info, kisha bonyeza Add.

III. Ingiza taarifa yako katika maeneo yanayofaa.

11. Zuia Spam texts
Hakuna mtu anayetaka simu yake kuvamiwa na udanganyifu na ujumbe za kijanja. Kamwe hakutakuwa na kizuizi kamili cha jumbe hizo, lakini hii inachangia sana kupunguza kazi hiyo kuwa ya sekunde chache tu. Ikiwa unapokea ujumbe wa unaoweza kuwa wa spam, kumbuka kamwe kubonyeza kiungo au kuingiza taarifa za kibinafsi.

I. Fungua Message App, bonyeza ikoni ya mistari mitatu, kisha bonyeza Settings.

II. Bonyeza Spam Protection.

III. Geuza Enable Spam Protection kuwa "on".
********

Ensure you're using these 19 Android hacks to get the most out of your device. We won't blame you if you want to find some hidden Android features. The sheer number of handy tricks and hacks buried within Android devices is a big part of why they're some of the best phones. Knowing just a few of them will help you get much more out of your Android phone.

But how can you find out about them if they're hidden? Android has been around for a long time and has a devoted and knowledgeable user base, so we're well aware that readers may already know some of these hidden features. We're willing to bet that at least one or two will be new to you.

All that's left to do is to read on and discover 19 hidden Android features you should be using.

Note: to ensure you can use all of the features below, you'll want your device updated to at least the Android 14 version

1. Enable Android Developer Options
This is a gateway to accessing many settings that most Android users don’t know about. You can change things like the maximum number of connected Bluetooth devices at once or modify the background processes limit so your phone doesn’t take on too much at once. Developer options give you power-user control over your device. Be careful not to mess with anything you don’t understand, as some settings could seriously mess up your phone’s setup.

I. Open the settings app, tap About the phone, and then tap the build number 7 times.

II. Enter your passcode and then return to the settings menu. Tap System Settings and then Developer Options.

(On a Samsung device, tap Software information, then tap the Build number 7 times).

2. Delete Cookes
Personalized ads are one of the biggest bugbears in modern life, and while you can’t avoid them everywhere, deleting cookies from your phone’s browser is a great way to regain your privacy. The name cookies may sound harmless, but this is code for trackers to gather data about your usage. Thankfully, on Android, it's easy to delete cookies on Chrome.

I. On Chrome, tap the three dots in the corner, then tap History. Now tap Clear browsing data.

II. select the Time Range box to delete every cookie and tap All Time. Now select the Cookies and Site data tick box and tap Clear data.

3. Restrict background data.
This is a great way to extend your phone’s battery life and stop you from running out of data three weeks before your plan renews.

A whole host of apps that pretty much everyone uses are constantly refreshing and looking for a wi-fi connection in the background. Disabling this is a great way to make your phone last longer, but it will also stop you from receiving notifications from WhatsApp unless it is currently open on your phone. On the plus side, when you next connect to Wi-Fi, the avalanche of messages will make you feel very popular!

I. Open Settings and tap Mobile Network, then data usage.

II. Tap Data saving, then toggle Data saving on.

III. To make exceptions for certain apps, tap Unrestricted apps and toggle on any apps to exempt them.

4. Split Screen
While not quite the same as having two phones at once, using split screens on Android is handy for those wanting to multitask; unless you have excellent eyesight or a massive phone, it may be best to use split screens on one of the best Android tablets. Not all apps are compatible with split-screen, but many leading ones are.

I. Swipe up to bring up your app tray.

II. Tap the menu button, then tap the Split screen.

III. Open another app and drag the margin to adjust the split.

5. View all saved Wi-Fi Networks
You can view all of the Wi-fi networks you’ve saved to your phone in one place, which is super handy. If a network is defunct, or you no longer have permission to use it (like an old job), you can delete it from your saved networks and stop automatically connecting.

I. Open Settings and tap Wi-Fi.

II. Tap the three dots and select Advanced settings.

III. Tap Saved networks to see and manage previous networks.

6. Check Notification History
If you’re one of those famous people who gets more messages than Santa in December, it can be easy to miss a notification on your phone. Luckily, on Android, you can recap every notification you’ve received. Remember, Android only saves 24 hours of notifications (to prevent slowdown), so you can't go back too far.

I. Open Settings, tap Notifications, then tap More Settings.

II. Tap Notification history and then toggle it on. Next time you get a notification, it will appear there for 24 hours.

7. One-handed mode
If you don’t have one of the best small phones but still want to control everything with one hand, you’re in luck! Most leading Android phones feature a one-handed mode. With a screen swipe, the user interface will drop down and be much easier to reach. This is very helpful for those with accessibility issues and anyone with small hands who may struggle to reach certain parts of the screen.

I. Open the Settings app and tap System Settings.

II. Tap One-handed mode and toggle one-handed mode on.

III. To use one-handed mode, swipe at the bottom of the screen.

8. Share Wi-Fi passwords via a QR-Code.
Suppose you’re done telling every guest the Wi-Fi password or are in a large group looking to connect. In that case, you can avoid confusion around uppercase or lowercase and other sticking points by generating a QR code instead. All you need is one Android device already connected to the network; everyone else can scan it with their devices and connect immediately. It would be best if you were connected to a Wi-Fi network to share your password.

I. Open the Wi-Fi menu and tap the gear next to the network.

II. Tap the QR code or Share.

9. Set a data limit.
With streaming services, social networks and other apps constantly chipping away at our data allowances, it can be easy to surpass your limit. With this feature, not only can you save yourself some unwanted charges, but you can also cap your data in terms of both monthly and daily usage. If you set your cap below your plan’s limit, you can keep data for when needed or have a data binge at the end of the month!

I. Open Settings and tap Mobile network, then tap Data usage.

II. Tap the Data usage limit and choose a daily or monthly limit.

III. Enter your data allowance for each day/month and select whether you want a warning or for your phone to stop mobile data immediately.

10. Set Medical Information for first responders.
Hopefully, you never have to use it, but your phone can store your essential medical information for first responders to help you in a crisis. However, if you cannot help and have a passcode, touch or face ID set up, it can be tricky for them to access. Using the Medical info setting, anyone who finds you can see any vital information, such as blood type or allergies, that you must share via the emergency call page. This feature takes moments to set up but might save your life.

I. Open the Settings app and tap on Safety & Emergency.

II. Tap Medical info, then tap Add.

III. Enter your information in the appropriate fields.

11. Block Spam Texts
No one wants their phone invaded by scams and dodgy spam texts. Intrusive and just plain annoying at their best and dangerous and malicious at their worst, limiting the amount of spam you receive is effortless. There will never be a complete spam blocker, but this goes a long way to reducing it to just seconds of work. If you receive a potential spam message, remember never to click on a link or enter personal information.

I. Open the Messages app, tap the three dots icon, then tap Settings.

II. Tap Spam protection.

III. Toggle Enable spam protection to on.

12. Force peak refresh rate.
If you’re looking to get the most out of your phone’s display, perhaps for gaming or an extended YouTube session, you’ll want the video to be as smooth as possible. Forcing your phone's highest possible refresh rate may increase battery usage but will also produce the best results.

I. Open the settings app, then tap Developer settings.

II. Tap Force peak refresh rate
 
Back
Top Bottom