nyasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MINING GEOLOGY IT

    Zifahamu faida za nyasi kipindi cha mvua na kiangazi

    Nyasi ni aina ya mimea inayojumuisha familia mbalimbali ya Poaceae (au Gramineae). Mimea hii ina tabaka ya nje ngumu inayoitwa utando wa nje, inayojulikana kama epidermis, na tabaka la ndani lenye seli zinazojaa maji. Zaidi ya hayo, nyasi zina mfumo wa mizizi ambao unajumuisha mizizi mingi...
  2. MRBIASHARA

    INAUZWA Tunauza mashine ya kufyekea nyasi #brush cutter mashine

    PORTABLE GRASS CUTTER MACHINE/BRUSH CUTTER MACHINE. ■Hii ni mashine ya kisasa ya kukatia ama kufyekea majani au nyasi. ■ Inauwezo wa kukata nyasi fupi na ndefu pia hata matawi ya miti ■Mashine hiii hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo kubwa sana. ■Wakati wa Kukata nyasi unaivaa begani...
  3. JF Toons

    Wapiganapo fahari wawili nyasi ndizo huumia

    Wapiganapo fahari wawili, nyasi ndizo huumia! Nini maoni yako juu ya picha hii mdau?
  4. GoldDhahabu

    Nawezaje kuwadhibiti mchwa wanaoharibu nyasi?

    Jitihada kadhaa zimeshafanyika bila mafanikio. Zilipoanza kutafuna nyasi za "garden", ilisemekana kukimwagiliziwa kila siku hilo tatizo litaisha. Hilo limekuwa likifanyika tokea mwaka Jana lakini halijasaidia. Nilipoenda duka la pembejeo, nilipewa dawa inayoonekana hapo chini. Imeshapuliziwa...
  5. MwananchiOG

    Kwanini nyasi uwanja wa Mkapa hazikuwahi kuwa hivi?

    Wajuzi naomba mnisaidie, Shida ni nini? Kwanini nyasi za pitch kwa Mkapa hazijawahi kuwa smart kama za wenzetu? Nini kifanyike?
  6. AbuuMaryam

    Dawasco na Tanesco kwenye ushindani mkubwa, zinazoumia ni sisi nyasi

    Baada Tanesco kukiki kwa takribani wiki 2 mtawalia. Dawasco ameona naye asisahaulike. Kuna kipindi cha Mzee Magufuli kulikuwa na ukame wa muda mrefu sana, ila umeme wala maji vilipatikana muda wote. Yale mambo ya kuna marekebisho hatukuyaexperience kabisa. Tulichokigundua kuwa umeme mnakata...
  7. JanguKamaJangu

    Rasmi kibarua cha Antonio Conte chaota nyasi Tottenham

    Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian Stellini. Kwa maamuzi hayo Spurs inatafuta kocha wa nne ndani ya miaka miwili. Kabla ya maamuzi...
  8. JanguKamaJangu

    Mtaalam wa Nyasi asema asema nyasi za Uwanja wa Mkapa zina 'Fangasi' lakini bado zina ubora wa mechi kuchezwa

    Erick Mpoki ambaye ni mtaalamu wa masuala ya nyasi za uwanjani ambao kitaalamu wanajulikana kwa jina la “Football groundsman” amesema amekuwa akifanya kazi hiyo tangu mwaka 2012 “Elimu hiyo ameipata kwa Wachina na Wazungu kwa vitendo, tukiwa kwenye kazi ndipo tumejifunza hapohapo...
  9. S

    Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
  10. Kimbioko

    Mashine ya kufunga nyasi kavu(Manual Hay Beller)

    Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions...
  11. Gladie Sephania

    SoC02 Wapiganapo tembo nyasi huumia

    Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
  12. Mchawi mwandamizi

    Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  13. JS Dairy Farm

    Nyasi za Juncao: Suluhusho la malisho ya ng'ombe, mbuzi na kondoo

    Nyasi za Juncao ni nyasi zilizofanyiwa utafiti nchini China, utafiti ulifanywa na Profesa Zin Zhanxi wa chuo kikuu cha Fujian Agriculture and Forestry.Ni hybrid ya aina tofauti za napier na yanafanana na majani tembo(elephant grass).Yanafahanika pia kwa majina ya Giant Juncao na majani ya...
  14. JS Dairy Farm

    Nyasi za Juncao: Malisho bora ya wanyama wanaokula nyasi

    Nyasi za Juncao ni nyasi/majani yaliyofanyiwa utafiti nchini China.Utafiti ulifanywa na Profesa Zin Zhanxi wa chuo kikuu cha Fujian Agriculture and Forestry ni hybrid ya aina tofauti za Napier na yanafanana na majani tembo(elephant grass)Yanafahamika pia kwa majina ya Giant Juncao, majani ya...
  15. BigTall

    Bodi ya Ligi ifanyie kazi ishu ya wachezaji kuunguzwa na nyasi mechi za saa 8 mchana, Simba na Yanga wasiwe watoto special

    Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kikilalamikiwa chinichini mara nyingi kwenye ulimwengu wa soka. Ishu ya baadhi ya timu kucheza saa nane mchana wakati wa jua kali imekuwa ni kama kilio cha baadhi ya timu ambazo zinaonekana hazina nguvu kubwa. Simba na Yanga wao ni wakubwa, TFF na Bodi ya Ligi...
  16. R

    Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  17. Frumence M Kyauke

    Kisa cha nyumba ya nyasi kijijini chasababisha ndoa kuvunjika

    Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza. Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
  18. Mayova

    Nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua magugu (nyasi), naombeni uzoefu

    Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk. Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii. Asanteni sana
  19. OKW BOBAN SUNZU

    TRA: Nyumba za nyasi hazitatozwa

    My Take Ndugu wananchi kama mnaona huyu mama hafai,acheni kulalamika.mwambie atoke
  20. Y

    Kwanini Tanzania inakimbilia nyasi bandia wakati nchi zilizoendela zimekataa kuzitumia viwanjani

    Wasalaam, Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama kwamba hawana uelewa wa masuala ya kimataifa ya mpira, hata TFF sikuwasikia wakitia neno wakati wanajua...
Back
Top Bottom