kampuni za mawasiliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Kampuni za Mawasiliano zinadanganya kuwa zinatoa kasi ya 4G-5G lakini sio kweli. Wanachofanya ni kuhariri majina ya Band

    Nina uhakika na shutuma hii kuwa ni kweli baadhi ya Kampuni za mawasiliano zinadanganya uma kuwa zinatoa kasi ya 4G au 5G lakini ukweli ni kuwa wamehariri majina ya Band lakini hawajafunga cable za speed halisi. Unaweza kuthibitisha hili kwa kufanya Speed test katika simu yako ikiwa unatilia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Call Centres za kampuni za mawasiliano ni kero. Mteja unapiga simu lakini unapewa majibu ambayo hayaendani na tatizo lako

    Kuna maudhi yanayoendelea kwenye customer care au call centre za Tanzania ambayo hatuwezi kuyafumbia macho. Na mengi ya maudhi haya yako mashirika ya simu, na mengine yanayotoa huduma nyinginezo. Moja ni kero kwamba unapiga simu ili kupata huduma au maelekezo, kisha unapewa majibu ambayo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO TCRA link mliyoweka kwenye website yenu ili tuweke malalamiko yetu dhidi ya kampuni za mawasiliano haifanyi kazi

    Hii ndio uozo mwingine wa taasisi za serikali nchini. Ona hawa TCRA. Wana page kwenye website yao kwamba ikiwa una malalamiko dhidi ya kampuni yeyote ya mawasiliano nchini basi watumie ujumbe kupitia page hii hapa chini. Sasa uozo uliopo ni kwamba wao wenyewe hii page yao ipo kama pambo...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G

    Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Starlink wamekuja mara mbili kuomba kutuletea huduma ya internet lakini wanazungushwa, kuna ugali wa mtu unaguswa?

    Ni huduma yenye uwezo wa kuponya ukosefu wa internet vijijini, maporini, milimani, ziwani, n.k. ukizingatia kwamba makampuni ya mitandao ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Kwa mara ya kwanza walikuja Tanzania bila mafanikio, waziri wa kipindi hicho Nape Nnauye alitoa...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kwa tozo hizi, kampuni za mawasiliano ni tajiri sana. Zitathiminiwe upya kikodi

    ××××××× Imethibitishwa Tarehe ××\××\×××× Saa 30:95 umetoa kiasi cha shs 5,000 kutoka kwa ×××××× Pepo mchafu toka, Ada Tshs 950.00 + TOZO ya serekali Tshs 54.00. Lengo la uzi wangu ni kwanini serekali inachukuwa kiwango kidogo namna hii ya tozo? Aidha kwanini kampuni za simu zinatoza kiasi...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania

    Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
  8. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Faragha yako inalindwaje?

    Tafadhali someni hapa chini: Privacy Policies za makampuni mbali mbali ambayo wanachakata na kutunza taarifa binafsi za wateja (personal data). Sina upande wa ipi ni nzuri ipi ni mbaya. But be in the know! Information is Power! Ukisoma kwa undani utagundua madalali wa faragha zako. Chukua...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zaiangukia Serikali tozo ya miamala. TPSF yataka benki zisiachwe

    Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale My Take Rais ajiuzulu
  10. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa kwenye akaunti zetu za simu, mtoa huduma anaweza kuzitumia?

    Salamu wakuu! Ni huyu mwanangu mkubwa leo kaniuliza swali hilo, ngoja niliweke vizuri ili tuweze kujadili. Ni hizi akaunti zetu za M-Pesa, TigoPesa, Airtel-Money, HaloPesa, T-Pesa itifaki imezingatiwa.[emoji28] Tunaweka kuhifadhi na kutuma kwenda kwa watu wengine, au kulipia huduma...
Back
Top Bottom