Aina ya silaha walizonazo Houthi zinaogopesha na majaribio ya kuzitumia inatoa picha ya azimio lao la vita

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Baada ya jaribio la wiki iliyopita kuteka meli na kuipeleka kwenye maeneo yao kushindwa na kusababisha vifo vya askari 10 wa Houth kumewakasirisha sana wanamgambo hao na serikali ya Iran.

Iran imeamua kuingiza meli yake ya kivita katikati ya meli nyengine za kivita zinazojidai kuilinda bahari nyekundu kama kwamba wameamua kuziambia nchi hizo za muungano kwenye bahari iliyo karibu na Yemen na Iran kuwa fanyeni mnachotaka basi.

Houth nao wametoa uwanjani silaha yao ya aina yake ambayo mfano wake kwa mara ya mwanzo imetumiwa na Ukraine katika vita vyake na jeshi la Urusi.silaha hiyo si nyengine bali ni droni ya baharini ambayo ni boti inayojazwa miripuko na kuongozwa ama chini ya bahari au juu yake bila kuwemo na mtu hata mmoja.

Droni ya bahari huwa inakwenda kwa kasi kuelekea kwenye lengo lake na kujibamiza na kuleta mripuko kwa meli za adui

Baada ya kukasirika sana Houth wametoa droni ya baharini hapo jana ambayo kwa bahati mbaya iliripuka kabla ya kufikia meli zinazofungaman na Israel zilizokuwa zikipita maeneo hayo..Hata hivyo jaribio la matumizi la droni hiyo kumetoa picha ya nia ya kuendeleza mashambulizi yao kwa meli zinazopingana na onyo la Houth.
 
Iran imeamua kuingia meli yake ya kivita katikati ya meli nyengine za kivita zinazojidai kuilinda bahari nyekundu kama kwamba wameamua kuziambia nchi hizo za muungano kwenye bahari iliyo karibu na Yemen na Iran kuwa fanyeni mnachotaka basi.
Houth nao wametoa uwanjani silaha yao ya aina yake ambayo mfano wake kwa mara ya mwanzo imetumiwa na Ukraine katika vita vyake na jeshi la Urusi.silaha hiyo si nyengine bali ni droni ya baharini ambayo ni boti inayojazwa miripuko na kuongozwa ama chini ya bahari au juu yake bila kuwemo na mtu hata mmoja.
Droni ya bahari huwa inakwenda kwa kasi kuelekea kwenye lengo lake na kujibamiza na kuleta mripuko kwa meli za adui
Baada ya kukasirika sana Houth wametoa droni ya baharini hapo jana ambayo kwa bahati mbaya iliripuka kabla ya kufikia meli zinazofungaman na Israel zilizokuwa zikipita maeneo hayo..Hata hivyo jaribio la matumizi la droni hiyo kumetoa picha ya nia ya kuendeleza mashambulizi yao kwa meli zinazopingana na onyo la Houth.
Huu mwandiko tu usiokuwa na mpangilio wala paragraph unapata jibu moja tu hii ni product ya wapi.
 
Baada ya jaribio la wiki iliyopita kuteka meli na kuipeleka kwenye maeneo yao kushindwa na kusababisha vifo vya askari 10 wa Houth kumewakasirisha sana wanamgambo hao na serikali ya Iran.

Iran imeamua kuingiza meli yake ya kivita katikati ya meli nyengine za kivita zinazojidai kuilinda bahari nyekundu kama kwamba wameamua kuziambia nchi hizo za muungano kwenye bahari iliyo karibu na Yemen na Iran kuwa fanyeni mnachotaka basi.

Houth nao wametoa uwanjani silaha yao ya aina yake ambayo mfano wake kwa mara ya mwanzo imetumiwa na Ukraine katika vita vyake na jeshi la Urusi.silaha hiyo si nyengine bali ni droni ya baharini ambayo ni boti inayojazwa miripuko na kuongozwa ama chini ya bahari au juu yake bila kuwemo na mtu hata mmoja.

Droni ya bahari huwa inakwenda kwa kasi kuelekea kwenye lengo lake na kujibamiza na kuleta mripuko kwa meli za adui

Baada ya kukasirika sana Houth wametoa droni ya baharini hapo jana ambayo kwa bahati mbaya iliripuka kabla ya kufikia meli zinazofungaman na Israel zilizokuwa zikipita maeneo hayo..Hata hivyo jaribio la matumizi la droni hiyo kumetoa picha ya nia ya kuendeleza mashambulizi yao kwa meli zinazopingana na onyo la Houth.
Ninachokufurahi ni kwamba, wewe ni mwarabu mweusi mwenye DNA ya Hamas
 
Huu mwandiko tu usiokuwa na mpangilio wala paragraph unapata jibu moja tu hii ni product ya wapi.
Huu mwandiko tu usiokuwa na mpangilio wala paragraph unapata jibu moja tu hii ni product ya wapi.
Nimerudia kusoma andiko languj halafu nikajua wewe ni mtu wa aina gani.
Si mtaalamu wa lugha yoyote.Si ya kigeni wala uliyozaliwa nayo.Na akili yako huwa haiwezi kufutatana na watu wanaotumia akili katika mambo yao.
 
Kwa kweli Niliwaza hili
Kuwa hivi hawana boat za bila mtu ndani?
Sasa kazi ndio imeanza
Kama kulipua wacha waondoke na meli
 
Back
Top Bottom