Viongozi na wananchi wa Kijiji cha Murufiti, Nyansha na Kigondo wakiwa kwenye makundi wakijadili mkakati wa kukabili ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye jamii za vijiji vyao katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Baadhi ya wanaume walioshiriki mjadala wa...
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.
CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu...
Shule ya msingi chicheho, iliyopo kata ya sanza wilaya manyoni ina upungufu mkubwa wa madawati (nusu ya shule nzima wanafunzi wanakaa chini ) hali ni mbaya sana.
Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri.
Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi.
Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
Zaidi ya wanafunzi 2000 Ilemela Mwanza wanakaa chini
Zaidi ya wanafunzi 2000 wa shule za msingi katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wanakaa chini kutokana na shule hizo kukabiliwa na ukosefu wa madawati.
Wanafunzi 600 ni kutoka shule mbili za Kayenze na Chasubi ambao wanakaa chini kutokana...