haufanyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa DAWASA wa kuomba kuunganishiwa Maji ONLINE haufanyi kazi

    Sehemu ninayokaa hamna bomba kuna mtu wa nyumba ya pili alikuwa amevuta maji akawa anatuuzia maji ila baadaye akaja kuzuliwa na DAWASA DAWASA kuwa hana kibali cha kuuza maji lakini pia sisi sehemu tulipo tupo ndani ya mita 50 kutoka bomba kubwa hivyo tunatakiwa kuvuta maji yule mtu akakatiwa...
  2. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Ukiulizwa kwanini haufanyi mazoezi jibu lako litakua ni lipi ? Mdau amejibu kwa kushangaza sana

    binafsi nakosa muda mixa kauvivu na pia sina company ya watu wa kwenda nao mazoezi, je wewe sababu yako ni ipi video: https://vt.tiktok.com/ZSVLwaS17/
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NSSF kupitia App yako mbona haufanyi kazi??

    Ni muda mrefu sasa, hii app ya NSSF haifanyi kazi lakini hela inapoingia unaingia ujumbe ukitaka kuingia kwenye App hiyo ili kuona Balance. Swali langu? 1. Je hiyo App imefungwa? 2. Na kama imefungwa kuna taarifa waliyotoa?
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL wanatuma bills lakini mfuno wa kupokea kupokea malipo haufanyi kazi siku ya 3 leo

    Sisi kitu tunaweza ni kupambana na Upinzani tu na wapinzani. Tunakwama wapi ? TTCL wana juhudi kutuma Control number lakini Mfumo haufanyi kazi DAWASA wanafungua maji siku 1 wanatuma bills wanakata Maji TANESCO Mvua ikinyesha wanakata umeme kua inaharibu miundo mbinu maji yaki kauka...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kuna tabia gani ulikuwa nayo ila umejikuta tu haufanyi tena

    Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
  6. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

    Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki. Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

    Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure . Ukila mchana usiku usile
  8. sergio 5

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KU CUT CIRCLE NA WATU WANAO KUONA HAUFANYI KITU KATIKA MAISHA

    Habari za mda huu Kuna watu tunajuana nao kwenye maisha ambao ni Bora tusingewafahamu Kuna watu ambao wanapenda kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi mara Fanya ivi mara Fanya ivi na hapo wewe hauwapangii maisha yao They call you when they need you only mbinu ipi ya kuwa epuka Hawa watu?
  9. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordan imefunga matumizi ya anga lake kwa ndege za kiraia baada ya mfumo wa GPS kutokuwa sahihi. Nchi zingine ni Kuwait, Iraq, Syria, Bahrain
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

    Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila taarifa then unakuta hakuna kiytu chochote na hakuna mtu wa kukusadiai. Naupenda sana Mfumo wa NEST...
  11. Katkit

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Habari wanajamvi, Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network. Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi mambo haya hauna haki ya kumiliki pesa au mali; utaishia kutamani tu na umasikini hautakuacha

    Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili. Mahitaji ya jamii yako ndiyo...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

    Kuna makosa mengi watu wanafanya. 1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi. 2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii. UFANYE NINI SASA Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
  14. Mnyakyusa Ipinda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March. Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
  15. josias

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Luku haufanyi kazi

    Jioni ya Leo Tarehe 28/08/2023 mfumo wa ununuzi wa LUKU kupitia njia zote (Mitandao ya Simu, Bank na hata Mawakala) haufanyi kazi. Jambo la kusikitisha TANESCO hawajatoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Tuna safari ndefu kama Taifa.
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanzania Mining Cadastre Portal mtandao huo umezimwa sasa ni miezi 4 haufanyi kazi

    Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa. Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa. Waziri...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko anahujumu tume ya madini, zaidi ya miezi 2 mtandao wa malipo haufanyi kazi

    Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2. Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
  18. T

    JamiiForums Tanzania Umasikini unaanzia kwenye mfumo wetu wa elimu ambao umepitwa na wakati

    Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje kama ukiwa umejisajili NSSF halafu haufanyi malipo?

    Mimi nilijisajili NSSF mwezi May. Kulingana na taratibu za ofisi yetu bado mwajiri wangu hajaanza kutuma hiyo fedha huko. Hivi kule wananiandikia deni au inakuaje? Msaada wakuu
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kubadilisha Combination kidato cha nne haufanyi kazi

    Wadau kwema Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
Back
Top Bottom