Mfumo wa kubadilisha Combination kidato cha nne haufanyi kazi

MAKUTUPULA

Member
Dec 13, 2019
10
0
Wadau kwema
Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili tarehe 18 mwezi huu
Mdau mwenye uelewa au amepitia hii changamoto naomba msaada
 
Back
Top Bottom