mashehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKATA KIU

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Habari wadau. Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha . Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini. Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini. Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na...
  2. U

    Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
  3. Execute

    Matukio ya kulipua mabomu kule Arusha yaliisha baada ya hawa mashehe wanaohukumiwa sasa kukamatwa

    Naipongeza mahakama kwa kuwatia hatiani hawa wapuuzi walioua na kujeruhi wengine kwasababu ya itikadi za kipumbavu. Mtu yeyote atakayefundisha kama yule marehemu ilunga anapaswa kushughulikiwa mapema kabla hayajatokea maafa kama yale ya arusha na zanzibar.
  4. matunduizi

    Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

    Kuna makosa mengi watu wanafanya. 1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi. 2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii. UFANYE NINI SASA Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
  5. Nkobe

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  6. Kiranja Mkuu

    Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

    Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali. Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
  7. sky soldier

    Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

    Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina. Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
  8. Nyenyere

    Mashehe wana hoja kuhusu umri wa kuolewa

    Wakuu amani kwenu, leo nami nimewiwa na haja ya kutoa mchango wangu kuhusu umri sahihi umpasao binti kuolewa. Mada hii imezua mijadala mingi nchini kwa sasa hasa baada ya viongozi wa kiimani wa Waislamu kupeleka hoja kuhusu umri wa binti kuolewa. Mimi nitalizungumzia hili kwa kuzingatia maandiko...
  9. mdukuzi

    Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  10. The Evil Genius

    Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

    Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote. Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika...
  11. M-mbabe

    Uonevu dhidi ya Mbowe: Viongozi wa dini toeni kauli ya kitume

    Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe) Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe ni nia ovu ya kutaka kumkata makali katika adhma yake ya...
  12. U

    Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

    Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru. Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo hicho wameenda mbali kwamba serikali iwalipe fidia. Hili limekuwa kubwa zaidi. Wanasiasa na...
  13. B

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru. Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz. TAARIFA KAMILI YA KESI HII: - Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
  14. Ileje

    Mufti Abubakari Zuberi ahimiza uharaka kesi ya mashehe wa Uamsho

    Dalili hizi zimeanza kuonekana baada ya Shehe Mkuu wa BAKWATA Mufti Zuberi kuzitaka mamlaka kuharakishwa kusikilizwa kwa shauri lao. Ni dhahiri shahiri serikali haiwezi kupuuza ombi lake na hivyo DPP ama atashauriwa kulifuta shauri hilo au ataanzisha mchakato wa kusikilizwa shauri hilo haraka...
Back
Top Bottom