hali tete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TwinsOrg_88

    DOKEZO SGR LOT 5 Hali ni tete. Wafanyakazi zaidi ya 200 wasimamishwa kazi

    Habari Wana JF, Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC. Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji mradi, wamepunguza wafanyakazi zaidi ya 200 na bado wanaendelea kupunguza. Aliye karibu na Mama...
  2. ChoiceVariable

    Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere. Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
  3. Ritz

    Majeshi ya Israel yamekwama kweye tope Gaza hali tete

    Wanaukumbi. Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada Gaza!! Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Momba: Mbunge Condester Sichwale ashangaa shule Shikizi ya Mazinge kujaa nyufa hali inayohatarisha usalama wa wanafunzi

    MOMBA: HALITETE, SHULE SHIKIZI MAZINDE; MBUNGE CONDESTER APIGWA BUTWAA MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
  5. Lady Whistledown

    Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  6. Mto Songwe

    Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

    Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa...
  7. Munch wa annabelletz47

    Hali tete Lecturer hataki kutoa mark up

    Ni hatari kweli kweli, watu wanamfata lecturer niongeze hata alama 1 tu lecturer nae anakuja kama wewe umezikosa mimi nitazitoa wapi? Maombi yenu yanahitajika sana kwa hawa ndugu zetu.
  8. anti-Glazer

    RC Chalamila aanze kazi sasa, hali ya Jiji ni tete

    Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo. Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing. Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi. Yaani jiwe aliharibu Nchi.
  9. MK254

    Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi. ======= Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest. The governor of...
  10. R

    Hali tete wakuu mwenye connection kazi za Ulinzi

    Habari wakuu, Mwenye connection kazi za ulinzi ndugu yangu anatafuta. Hali tete. Cc: Sandali Ali
  11. HERY HERNHO

    Hali tete Ukraine waanza kutumia vikongwe na watoto. Wagner Group yamtaka Zelensky atangaze kuipoteza Bakhmut maana hali ni tete

    Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa sasa. Kufikia asubuhi ya Ijumaa (Machi 3), Yevgeny Prigozhin alisema sehemu pekee ambayo haikuwa...
  12. MK254

    Hali tete, Urusi kuanza kulazimisha wanafunzi wakapigane Ukraine

    Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume. ===================== "Russia is preparing to draft...
  13. Mbulukenge

    Chid Benz hali tete

    Huyu gwiji wa kitambo ndio amefikia huku kweli?
  14. T

    Hali tete vivuko vya Kigamboni

    Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea. Tangu hii wiki ianze wananchi wamekuwa wakiteseka sana pale kwa foleni ndefu magari na mlundikano mkubwa kwenye...
  15. BARD AI

    Hali tete, Hospitali nchini zaishiwa vitanda

    Wakati Serikali ikiendelea kuongeza idadi ya hospitali na vituo vya afya nchini, bado changamoto ya uhaba wa vitanda vya kulazia wagonjwa inaendelea kuiandama sekta ya afya, hasa katika vituo vya umma. Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)...
  16. Njowepo

    TCRA saidieni kwenye hili la vifurushi, hali tete

    Hii mitandao ya simu kila leo wanapunguza package zao ila kwa bei ile ile. Mfano Vodacom kwa mwezi wa Nov na Oct kwa malipo ya Tshs 50,000 nimekuta wamepunguza 3GB na dk 200. wamepunguzakama ifuatavyo; ~ 50,000 Nov Package unapata :1200minutes 500sms 20GB. ~ 50,000 Oct Package nilipata...
  17. BARD AI

    TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  18. mtarimbo

    Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

    Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin. Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora. Hii ni baada ya dicteta Putin...
  19. BARD AI

    Wafanyakazi wa BoT waliochana noti za Tsh. Bilioni 4.6 hali tete

    Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano, likiwemo kuharibu noti 4.6 milioni kwa kuzichanachana na hivyo kuisababishia benki hiyo hasara...
  20. Bemendazole

    Hali tete daraja la Tanzanite. Nashauri hili lifanyike

    Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite. Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu. Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia. Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves...
Back
Top Bottom