Hali tete daraja la Tanzanite. Nashauri hili lifanyike

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,361
5,879
Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.

Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.

Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.

Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves (mitetemo) ya hali ya juu kitu ambacho kina athiri daraja na kulipunguzia urefu wa maisha.

Nawashauri Tanroads kuchukua hatua za haraka kwa kulifunga dampers daraja la Tanzanite ili kupunguza mitetemo ambayo inaathiri daraja hilo kwa kasi ya mwanga.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

images (1).jpeg
images (2).jpeg
images.jpeg
 
Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.
Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.
Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.
Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenyecsesmic waves (mitetemo) ya hali ya juu kitu ambacho kina athiri daraja na kulipunguzia urefu wa maisha.
Nawashauri Tanroads kuchukua hatua za haraka kwa kulifunga dampers daraja la Tanzanite ili kupunguza mitetemo ambayo inaathiri daraja hilo kwa kasi ya mwanga.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
View attachment 2382330View attachment 2382329View attachment 2382335
Usiwe na hofu. Hizo kitaalam zinaitwa expansion joints. Kama zile zilizotokea kwenye hosteli za Magufuli. Nadhani unakumbuka kilichomtokea yule dogo aliyepiga picha na kuzisambaza. ...

Una bahati hivi sasa mama anaupiga mwingi... Tungekuokota coco beach kwenye kiroba....
 
Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.

Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.

Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.

Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves (mitetemo) ya hali ya juu kitu ambacho kina athiri daraja na kulipunguzia urefu wa maisha.

Nawashauri Tanroads kuchukua hatua za haraka kwa kulifunga dampers daraja la Tanzanite ili kupunguza mitetemo ambayo inaathiri daraja hilo kwa kasi ya mwanga.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

View attachment 2382330View attachment 2382329View attachment 2382335
Kua makin
 
Sisi wabongo kwa ujuaji ujuaji tu. Tuoneshe hizo nyufa?
 
hizo nyufa labda zipo matakoni mwako acha kudanganya watu ww nimepita wiki mbili nyumavhapo kwa mguu na nilikua naangalia lilivyojengwa na sijaona nyufa za kusema daraja lipo hatarini na hata hizo nyufa ndogo sijaziona ww nyufa umezionea wapi au unatafta kiki kwa pikipiki
 
Hongera Kwa brain nzuri wewe ni Hazina yetu kama taifa. 👍👍👍
 
hizo nyufa labda zipo matakoni mwako acha kudanganya watu ww nimepita wiki mbili nyumavhapo kwa mguu na nilikua naangalia lilivyojengwa na sijaona nyufa za kusema daraja lipo hatarini na hata hizo nyufa ndogo sijaziona ww nyufa umezionea wapi au unatafta kiki kwa pikipiki
Yaani mleta maada ndiyo anatamani nyufa zitokee lakini ndiyo hivyo tena! Chuki ni kitu kibaya sana,chuki inakufanya unakua na tabia za kichawi!!
 
hizo nyufa labda zipo matakoni mwako acha kudanganya watu ww nimepita wiki mbili nyumavhapo kwa mguu na nilikua naangalia lilivyojengwa na sijaona nyufa za kusema daraja lipo hatarini na hata hizo nyufa ndogo sijaziona ww nyufa umezionea wapi au unatafta kiki kwa pikipiki
Mwee! 😀
 
Back
Top Bottom