Search results

  1. Intelligent businessman

    Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??. jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana. Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi. Una jiita...
  2. Intelligent businessman

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora? 1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya...
  3. Intelligent businessman

    Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

    Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote. Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake Habari zilisema...
  4. Intelligent businessman

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa. Pia soma Bobrisky , The famous and rich Gay in Nigeria Bobrisky Amwanika Boyfriend wake Billionare...
  5. Intelligent businessman

    Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako. Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi. Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda. Kwasababu upo...
  6. Intelligent businessman

    Hatimaye nime mpata

    Ulikuwa wapi mbona ume chelewa??, I looked for you kila Kona ila siku ambulia kitu!!? I even asked majirani ila nao hawakuwa na jibu la kunipa, zaidi ya pole (damn). Sorry about that day, nawe uli zidi ujue, sometimes stick to my rules kwani mi ndo bread chaser. You know we are cool...
  7. Intelligent businessman

    Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

    Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii. Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter. Humo ndani j Cole Ali sema, love when they argue who is the best mc, is it k dot, Aubrey or me. Note by, k dot...
  8. Intelligent businessman

    Elon Mussa wa Kenya, aomba kukutanishwa na baba ake Elon Musk

    Nanukuu "Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk. Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk alipotembelea hapa. Sasa ninaishi katika umaskini uliokithiri licha ya baba yangu kuwa bilionea wa...
  9. Intelligent businessman

    Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm. Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio. Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa...
  10. Intelligent businessman

    Kumbukumbu tamu za soka

    Andres Iniesta Kondoo fulani katikati ya msitu wa mbwa mwitu wakali Ile picha ya kibabe sana, aliipiga 'Felipe Mondrovera' wa 'Getty images'. Ilikuwa Juni 10 2012 mechi ya kwanza ya EURO. Hispania waliianza kampeni yao ya kutetea taji la mataifa Ulaya. Kumbuka hapo walitoka kuchukua EURO 2008...
  11. Intelligent businessman

    Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  12. Intelligent businessman

    Kataa ndoa ni hazina ya kesho

    Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno. Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka. swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia. maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana. Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN, 02...
  13. Intelligent businessman

    Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

    Kuna siku niliwahi kuona chapisho lililosema."Najiuliza jinsi Dr Nandipha aliweza kupenda, kuishi na kufanya mapenzi na muuaji bila kuogopa, kwa mara ya kwanza nitakubaliana na watu wasemapo ogopa wanawake"Baada ya kuona chapisho hilo nikajiuliza huyu Dr Nandipha ni nani? Nikagundua ni mwanamke...
  14. Intelligent businessman

    Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya miongo kadhaa. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto mwenye akili nyingi, alifanikiwa kusoma kwenye shuke za...
  15. Intelligent businessman

    Dharau by Ibraah FT Harmonize

    Ukisikia wiki ya Hit ndio hii, Ibraah wa Kondegang ameachia wimbo uitwao Dharau ambao ame shirikiana na Boss wake Harmonize nadiriki kuwa ambia ni kisanga, awa jamaa kwa Melody ni balaa yaani ni hatari tupu, Ngoma inapanda Tending kwa speed ya 5G uko mjini Youtube. .
  16. Intelligent businessman

    Baba na mwana wanapoacha majonzi katika jiji la Washington DC

    GiZA LAANZA KUTAWALA - 1 Matumizi ya nyaraka za vitambulisho na umuhimu wa kushirikisha jamii katika kupambana na uhalifu. Watu 17 walikufa ndani ya siku chache, na wengine 23 walijeruhiwa. Oktoba 2002 wakazi wa jimbo la Washington DC na maeneo ya jirani walijikuta kwenye wakati mgumu wa...
  17. Intelligent businessman

    Huenda hii ndio sababu ya Afande Sele, kugombana na wasanii wenzake

    Kabla hujaanza kusoma vizuri, naomba kwanza urejee kichwa cha habari hapo juu, kielewe vizuri halafu ndiyo uendelee kusoma, Binafsi ukija kwa mbele yangu na kunitupia swali la haraka, kutaka nikutajie wasanii watano ambao nawakubali sana, Basi jina la Mfalme wa Rhymes (Afande Sele) litakuwa...
  18. Intelligent businessman

    Maovu ya Howard Elkins yanapofichuka na kuamsha machungu upya

    HAKUNA DHULMA YA MILELE, ISIYO LIPWA. ‘Mwili uliolala milele hauwezi kuamka, lakini unaweza kuzungumza ukweli kuliko mwili unaoamka kila siku’ – Pragya Santra. Kila nyumba ina stori yake, ndoto zake, siri zake na matumaini ya watu wanao ishi na walio wahi kuishi humo. Nyumba moja mjini New...
  19. Intelligent businessman

    Siri nyuma ya sura nzuri

    KISA CHA MUUAJI MJANJA Uchunguzi wa kimaabara na matukio ya uhalifu. Siku moja wakati wa ibada ya jioni, mtu mmoja aliyeitwa Steve A. Robards mwenye umri wa miaka 38 alianza kuhisi dosari mwilini mwake. Baadaye usiku alifariki kwa‘shambulio la moyo’ au kwa lugha nyingine ‘Heart Attack. Iweje...
  20. Intelligent businessman

    Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

    AMEPOTEA KISIWANI KEY WEST - 1 Umewahi kujua kwamba taa za barabarani huwekwa pia Kamera? Si kwa Tanzania, lakini katika miji mingine mikubwa taa za barabarani huwekwa Kamera ili ziweze kunakiri matukio mbalimbali na kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama. Fuatilia kisa hiki cha mwanaume mmoja...
Back
Top Bottom