Kendrick Lamar atuma diss kwa J Cole na Drake

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,103
52,815
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii.

Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter.

Humo ndani j Cole Ali sema, love when they argue who is the best mc, is it k dot, Aubrey or me.

Note by, k dot ni Kendrick Lamar, Aubrey ni Drake na me ni j Cole mwenyewe.

Sasa Mwaka huu metro nae katoa album yake, humo ndani kam shirikisha Kendrick Lamar.

Kendrick katoa majibu ya kile kilicho semwa na j Cole, na Kisha katoa trash talk kwenda kwao.

Kwanza Kasema hakuna hiyo kitu inayo itwa big 3, Bali Kuna mfalme mmoja tu ambaye ni yeye k dot.

Ana sema majamaa Wana toa ngoma, ila Hawa wezi kuwa wa halali (real hip hop).
Kisha ana sema Wasi m diss kwa kuvizia,

Kisha ana maliziaa kwa kusema, wame Anza na mlengaji wa kwanza, wali paswa kuja Na switch 3.

FB_IMG_17111382571720507.jpg

Ila yuki recall back, I Cole Alisha zungumzia Hilo kwenye ngoma hiyo hiyo ya first person shooter.

Alisema Wana umiza kujua yeye ni namba gani katika hao wa 3, yeye akasema ni numera uno ambayo ni 1.

So acha tusubiri majibu ya j Cole,
FB_IMG_17111386173077416.jpg
 
Watoto wadogo wanajaribu kuchukua mantle ya legendary j Cole mwenyewe mtu mbady. Kati yao, hakuna kama Cole. Ni mtu mmoja tu anayefikisha ujumbe bila kutumia nguvu, kauli za mafumbo n misemo lukuki. Hao wengine wanaupenda sana mziki lakini mziki unampenda sana Cole. Ni Cole pekeake alimhumble mfalme wa rap, Jay z, ni yeye pekeake aliyechanguliwa na media ukilinganisha na wengine walioforce diss tracks ili kuwepo kwenye trendings. No one like cole
 
Cole mkali kusema ukweli, k dot ana kutafuta Sana
 
Back
Top Bottom