Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,771
54,075
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.

Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.

Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora?
1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya kuwa mzazi. (Hii kwa wanaume na Wanawake, ita pendeza mki elezea kwa kina zaidi).

2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.

3. Kwa mwanaume ni Mambo yapi ya kuzingatia zaidi, hasa Baada ya kupata taarifa hizo.

I mean no malice to nobody.
FB_IMG_17134331661391597.jpg
FB_IMG_17134332217764043.jpg
 
Nilikuwa na mixed feelings, shauku na uoga.

Nilipata bahati ya kuwepo mtoto alipokuwa anazaliwa na kupata fursa ya kumbeba alipofutwa tu. Kwa mara ya kwanza nadhani nilitokwa na machozi ya furaha, yani nilijikuta machozi tu yananitoka.

Ilikuwa ni hisia nzuri mno.

Hakuna mtu yeyote anaeweza kukufundisha jinsi ya kuwa mzazi bora, just be the best you can be kwa kuwepo katika kila hatua ya ujauzito mpaka kujifungua kwa mzazi mwenzio. Kumbuka kila kitu kwako ni kipya hivyo ni sawa kuwa na hofu na uoga.

Funzo pekee ambalo nahisi ni muhimu ni kupanga na mwenzi wako kupata mtoto, nahisi hapo utaenjoy zaidi process yote mpaka mtoto kuzaliwa.
 
Nilikuwa na mixed feelings, shauku na uoga.

Nilipata bahati ya kuwepo mtoto alipokuwa anazaliwa na kupata fursa ya kumbeba alipofutwa tu. Kwa mara ya kwanza nadhani nilitokwa na machozi ya furaha, yani nilijikuta machozi tu yananitoka.

Ilikuwa ni hisia nzuri mno.
Asante Sana mkuu, turudi nyuma kidogo Baada ya kupewa taarifa.
Kuwa shemeji yetu ana mimba, hali ili kuwaje upande wako??
 
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.

Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.

Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora?
1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya kuwa mzazi. (Hii kwa wanaume na Wanawake, ita pendeza mki elezea kwa kina zaidi).

2. Una ushauri upi kwa vijana kuhusu suala hilo la kuwa mzazi.

3. Kwa mwanaume ni Mambo yapi ya kuzingatia zaidi, hasa Baada ya kupata taarifa hizo.

I mean no malice to nobody.
View attachment 2967184View attachment 2967185
Hongera Mkuu
 
Binafsi nijiskia vibaya maana kutengenza familia isiyo tarajiwa kama mliooana inakua kipengele kingine
 
Asante Sana mkuu, turudi nyuma kidogo Baada ya kupewa taarifa.
Kuwa shemeji yetu ana mimba, hali ili kuwaje upande wako??
Tulipoteza mimba mbili kabla ya hiyo ya 3. Miezi ya mwanzo ilikuwa na uoga mwingi sana kuhisi nayo itapotea.

Naamini nilienjoy zaidi ile process sababu tulishapitia mengi na mzazi mwenzangu mpaka kufikia ujauzito huo.

Shauku ilikuwa ni kubwa mno hasa kuelekea kwa zile siku za kujifungua. Ilikuwa special zaidi sababu tulikuwa mbali na familia zetu kumaanisha we were the only family for each other. Kila kitu kilikuwa kipya kwetu, but worth it.
 
Nilitambua sasa nimeleta kiumbe kipya duniani maisha yake ni wajibu wangu kuyatengeneza na kumwandalia kesho yake .
Ukipata taarifa umempa binti ujauzito , hakuna sababu ya kuuliza uliza ni yangu ama ni yake kama uliiloweka,wewe fungua account weka pesa ya mtoto na mama yake .
 
  • hofu
  • was was
  • ile feeling kwamba, "itakuaje?"
Supplimentary yangu ya kwanza chuoni ilikua ninkwasababu hii hii, siku naingia kupiga final exam ya visual basic programming ndio siku nimepigiwa simu my girl kapata uchungu kakimbizwa hospital.
Mtihan nilikua naona maruwe ruwe tuu
Hahaha, halafu nili kusahau kaka Ivan Stepanov dah na imagine ulivyo kuwa na wenge😃.

Imagine uukizwe swali la kuhusu internet, we una waza aisee wata toka salama kweli??.
 
Back
Top Bottom