Search results

  1. J

    Luhaga Mpina aibua mambo ya kutisha huduma za kuongeza makalio, atoa ufafanuzi mzito

    UFAFANUZI WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA, KUHUSU HOJA YA HOSPITALI ZA SERIKALI KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KUONGEZA MAKALIO NA MATITI ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 14 FEBRUARI 2024 VIWANJA VYA BUNGE DODOMA Ndugu Waandishi wa Habari, asanteni kwa nafasi hii...
  2. J

    Kwanini Waziri Mkuu Majaliwa asijiuzulu ili Serikali iundwe mpya

    kusini wanalia ugumu wa maisha, tatizo la umeme, mbolea na mambo ya korosho hali ni mbaya
  3. J

    Kwanini Waziri Mkuu Majaliwa asijiuzulu ili Serikali iundwe mpya

    Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi lakini bado matatizo ya wananchi yako pale pale tena ndiyo yanazidi kuwa mabaya. Ushauri wangu...
  4. J

    Mtanzania ahoji Rais Magufuli angekuwa hai Kikwete angesema hayo?

    Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na DP World. "Halafu Mstaafu angetulia hayupo kwenye kiti kabisa au anataka Tena ?? hatutaki Escraw...
  5. J

    Mkataba wa Bandari Tanzania na DP World ni Kaburi la CCM 2025

    Ni Mjinga gani ataacha Mkataba wa Bandari asikilize MANENO- Alisikika akisema Katibu Mkuu wa CCM Chongolo
  6. J

    Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Mimi sijamsikia akizungumza chochote kuhusu Bandari kama kuna mwenye clip yake akizungumzia suala la Bandari aiweke hapa tuelimike sote
  7. J

    DAS Busega aandika waraka Mwabukusi ashungulikiwe

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha ameandika waraka akitaka Wakili Boniface Mwabukusi ashughulikiwe.
  8. J

    Mwanasheria wa Wizara afichua siri nzito mkataba wa bandari

    Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza kuwa kabla ya Azimio halijapelekwa Bungeni lilipitiwa na Mfumo mzima wa Serikali ambao ni...
  9. J

    Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    wasikilize kwa makini unaweza kuelewa hoja yao
  10. J

    Walemavu washikiniza Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu mkataba wa bandari

    Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine --- Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
  11. J

    Chongolo anza ziara nchi nzima kufafanua ufisadi ripoti ya CAG

    Watanzania wanaomba viongozi wa CCM, kuanza ziara nchi nzima kujibu hoja za ufisadi zilizotajwa na CAG kuhusu ufisadi wa Matrilioni ya fedha uliofanywa na vigogo wa Serikali kama wanavyofanya sasa kujibu hoja za mkataba wa Bandari. Ziara ya Bandari isimame kwanza na wafanye tathmini ya...
  12. J

    Magazeti ya leo yasusia kuripoti press ya Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi

    Nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu. Pia soma: UTPC yalaani kauli ya Dkt. Slaa inayodharirisha waandishi wa habari, yataka aombe radhi Balozi Dkt...
  13. J

    Tetesi: Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wakutana kikao cha dharura baada ya Bunge kutoa mwongozo wa Luhaga Mpina

    Mwisho wao kisiasa umefika. njia ya muongo ni fupi sana leo watamdanganya nini tena Mh. Rais
  14. J

    Mpina alisimamisha Bunge kwa Dakika 25 "Atoa tuhuma NZITO maelekezo ya Waziri Mkuu, Mawaziri wakwama

    Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu ndio ulizua sintofahamu iliyomlazimu Spika kuagiza Mpina alete ushahidi.
  15. J

    Mpina alikuwa sahihi alivyomshutumu Waziri Mkuu kupuuzwa maagizo yake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi Dkt. Tulia amesema hayo leo June 28,2023...
  16. J

    Mwigulu amuwashia moto Mpina, ni kuhusu kufunga biashara. Adai Mpina anafurahia watu wakiumia

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023 1. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
  17. J

    Luhaga Mpina achambua hoja 13 Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023 1. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
Back
Top Bottom