Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema serikali itoe majibu kwanini bajeti ya Katiba mpya haipo kwenye Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa bungeni.
Aidha, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla...
Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia.
Mbunge huyo...
Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa...
Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayotumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31) pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka...
Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 inatarajiwa kusomwa bungeni jijini Dodoma, na kila mmoja wetu anasubiri kwa hamu kujua mwelekeo wa maisha yetu kwa mwaka ujao.
Ni bajeti ya kwanza kusomwa inayoanza kutekeleza Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050 (Vision 2050).
Akitoa...
Habari za mchana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza hotuba ya bajeti toka kwa Waziri. Pamoja na deni la Taifa kuendelea kukua, hii itupe ishara kwamba tunaenda uelekeo usio sahihi. Sijui ni kwa nini wananchi huku chini wanasononeka ila wakubwa huko juu wako kimya.
Kubwa ninalotaka kulisemea...
Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa?
Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa.
Hii inafuatia kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...
Leo, Juni 26, 2024, Wabunge wa Tanzania wanatarajiwa kupiga kura ili kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha ujao. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa kupanga na kugawa rasilimali za taifa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo na matumizi mengine ya serikali. Mchakato huu...
MBUNGE ROSE CYPRIAN TWEVE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwa Imara na mwanamke ambaye hajatikisika kuhakikisha anaendelea kuliongoza Taifa hili. Nampongeza Mhe. Mwigulu na Mhe. Mkumbo kwa namna ambavyo...
Wakenya wamechachamaa sana na Mswaada wa bajeti yao, wanaona hauna maslahi kwao, Pamoja na kufanyiwa mabadiliko bado wanachachamaa tu.
Wakenya wako chonjo na Bajeti yao wanapitia kifungu kwa kifungu. Mijadala yao mikuu kwa sasa ni bajeti yao tu hakuna mjadala mwingine.
Njoo Tanzania kwenye...
Leo Bungeni waziri wa uchumi na uwekezaji, Kitila Mkumbo anawasilisha Hali ya uchumi ya Taifa 2023 na mpango wa maendeleo wa Taifa 2024-2025.
Taarifa hii ndio msingi wa bajeti ya Serikali inayotarajiwa kusomwa baadae leo na waziri Mwigulu Nchemba.
Kaa nami
=======...
Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti.
Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023
1. UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
Serikali ya Tanzania katika mwaka 2023/24, inatarajia kukusanya na kutumia Sh43.3 trilioni ikilinganishwa na makadirio ya Sh41.5 trilioni kwa mwaka 2022/23, ikiwa ni ongezeko la asilimia 4.4.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Novemba 7, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.