bajeti kuu ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Luhaga Mpina achambua hoja 13 Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023 1. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
  2. J

    Mawazo ya Wadau wa Twitter Spaces ya JamiiForums kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali iliyosomwa 15/06/2023

    Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23 Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
  3. Erythrocyte

    Taarifa za Bajeti Kuu ya Serikali zapuuzwa, kisanga cha Bandari chaendelea kushika kasi

    Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono. Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24, lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa! Watu wote wamekomalia Mkataba wa...
  4. Roving Journalist

    Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  5. benzemah

    UPDATES: HOTUBA ya Bajeti Kuu ya Serikali Kwa Mwaka wa Fedha 2023/24

    Tupeane hapa Updates zote kutoka kwenye Bajeti Kuu ya Serikali Kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 inayosomwa leo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma Pia Soma...
  6. Lanlady

    Je, bajeti kuu ya serikali 2022/2023 inauma na kupuliza?

    Je, tutegemee kupanda kwa bei ya viberiti au mi ndio sijaelewa?🤔 Maanake safety match ndio bidhaa pekee ambayo haijapanda bei kwa miaka mingi
  7. Nyendo

    JamiiForums yapongezwa Bungeni kwenye Bajeti Kuu ya Serikali. Maxence Melo apongezwa kwa Uzalendo wa Ushauri Kodi Biashara ya Mtandao

    Mchango wa JamiiForums watambulika bungeni, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba asema anaipongeza JamiiForums kwa kuweza kufanya uratibu wa mchakato wa mazungumzo yahusuyo mambo ya digitali. Aidha amempongeza Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums kwa kuwakusanya Wadau wa kiditali ili waweze...
  8. figganigga

    Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

    Salaam Wakuu, Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha. Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo? 1. 2021, Serikali ilianzisha tozo kwenye uhamishaji wa fedha na tozo ya muda wa maongezi. Je Tozo...
  9. Roving Journalist

    Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22. Kati ya matarajio ya bajeti...
  10. Baraka Mina

    Hongera Serikali: Ukweli kuhusu Bajeti ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2021/2022

    Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha...
Back
Top Bottom