iundwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti matumizi sahihi ya barabara za mwendokasi, iundwe BRT Enforcement Agency

    Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wazee: Liundwe Baraza la Taifa la Vijana kuchochea MAENDELEO na UZALENDO

    Miongoni mwa maazimio ya wazee waliokutana leo kujadili kilichotokea Oktoba 29 ni kuundwa kwa Baraza la Taifa la Vijana litakalolenga kuleta maendeleo na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana. Kauli hiyo imetolewa leo, Januari 22, 2026.
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania National Database Center iundwe Tanzania

    Habari Tanzania ! Mnataka mawazo ya vijana, ishi nayo hii wewe mwenye nguvu na mamlaka Tanzania. Naomba kupendekeza kuwa; Watanzania wote wasajiriwe nchi nzima. Tuwe na data za taarifa zao kuanzia Watu waliopo, wanaozaliwa, kufa, umri, Jinsia, Elimu, Kazi, nk ili tunapoweka mipango ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe ofisi ya mshauri Mkuu wa Taifa ambaye atawajibika kwa Baraza la Mawaziri.

    Kwako Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano. Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri iundwe Tume kuchunguza vifo hivi vya Watanzania wenzetu

    SIKU za Karibuni kumeibuka wimbi la vifo vya viongozi huku sababu za vifo vyao zikifichwa na mwisho mnawekewa ratiba ya mazishi watu wanatoa hotuba za kusisimua wanaondoka wanaziacha familia kwenye majonzi makubwa hususan watoto na wazazi. 1. Kifo cha KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi...
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Iundwe wizara ya Matamasha "festivals"

    Hivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia; 1. Kizimkazi Festival, 2. Tulia Trust Festival, 3. Arusha Land rover Festival, 4. Majimaji Festival, 5. Wasafi Festival, 6. Nandy Festival, 7. Vespa Zanzibar Tourism Festival, Punde tutasikia Ruangwa na Buhigwe festivals...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Iundwe Tume ya kijaji kuchunguza kifo cha Ali Kibao, Polisi hawawezi kujichunguza

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemwambia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuwa amfikishie salamu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anatakiwa kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama kuchunguza matukio ya utekaji na mauaji Nchini. Amesema Tume hiyo ambayo itachunguza pia tukio la...
  10. Zed

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Jeshi la Polisi Iundwe Upya!

    Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua...
  11. Mdeke_Pileme

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  12. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tokea dunia iundwe punda wameongea kwa ajili ya Israel

    Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa Israel wametoka Utumwani misri wanaelekea taifani mwao waliweka kambi pembezoni mwa mto jordan eneo la...
  13. Lambardi

    JamiiForums Tanzania Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Waziri Mkuu Majaliwa asijiuzulu ili Serikali iundwe mpya

    Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi lakini bado matatizo ya wananchi yako pale pale tena ndiyo yanazidi kuwa mabaya. Ushauri wangu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ruhoro: Wakaguzi wa ndani nao ni wezi wanashiriki kwenye dili za kuiba. Iundwe taasisi ya Wakaguzi wa ndani inayojitegemea

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro akiwa anachangia hoja amesema; Mkaguzi mkuu wa ndani wa serikali anapewa fedha kutoka wizara ya fedha na anapewa fedha na katibu Mkuu Wizara ya fedha, na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ndiye anaetoa fedha kwenye halmashauri na mamlaka zote za serikali za mitaa na kwenye...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa. Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Iundwe Kampuni ya Uendeshaji wa Bandari, TPA na DP World ziwe na Umiliki Sawa (50/50), Azimio sio Mkataba wa Uendeshaji

    Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe "Azimio sio Mkataba wa uendeshaji (concession agreement) wala sio Mkataba wa Uwekezaji (HGA). Azimio la Bunge ni ruhusa tu ya kuanza kujadiliana hiyo mikataba mingine. Azimio hili litakufa kibudu pasipokuwa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Iundwe tume ya kushughulikia rushwa na urasimu katika ofisi za umma

    Habari! Hali ni mbaya sana. Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma? Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya utoroshaji wanyama pori iundwe tume huru ili ukweli ujulikane. Majibu ya Serikali hayana mashiko

    Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu. Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii. Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena. Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini? Nchi inauzwa kwa waarabu.
Back
Top Bottom