Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi lakini bado matatizo ya wananchi yako pale pale tena ndiyo yanazidi kuwa mabaya.
Ushauri wangu Majaliwa ndiye chanzo cha matatizo yote hivyo muda umefika naye kuondoka ili kumpa nafasi Rais ya kuunda Baraza jipya la Mawaziri litakalokuwa na watendaji wachapakazi, waadilifu na wanaoheshimu wananchi.
Hebu tujiulize tangu Machi 2021 alipoingia Rais Samia Katibu Mkuu Kiongozi alikuwa Bashiru Ally, akaondolewa, baadaye akamteua Balozi Hussein Katanga naye akamuondoa, akamteua tena Dk. Moses Kusiluka kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
Alimkuta Rodrick Mpogolo Kama Kaimu Katibu Mkuu, anakamla kichwa, akamteua Daniel Chongolo naye akaondoka, na sasa ni Dk. Emmanuel Nchimbi hatujui ataondoka lini.
Bungeni Spika akiwa Ndugai akaondoka sasa ni Dk. Tulia
Upande wa Mwenezi wa CCM, alimkuta Pole Pole akatimuliwa, akamteua Shaka Hamdu Shaka naye akatimuliwa, akateuliwa Sophia Mjema naye akaondoka na sasa ni Paul Makonda ambaye hatujui ataondoka lini.
Upande wa DG wa usalama wa Taifa, alimkuta Diwani Athumani akaondoka, akamteua Said Hussein Massoro akaondoka na sasa akamteua Balozi Ali Idi Siwa
upande wa IGP alimkuta Simon Sirro akaondoka na sasa ni Wambura
Upande wa CDF alimkuta Mabeyo akaondoka na sasa ni Mkunda.
Upande wa Mawaziri waliondoka William Lukuvi, Dk. Kalemani, Dk. Ndugulile, Dk. Angelina Mabula, Geofrey Mwambe, Prof. Kabudi, Chamriho, Prof. Mkumbo ambaye akamrejesha wakaingia Januari Makamba, Nape, Mohamed Mchengerwa, Hussein Bashe, Abdalah Ulega, Makame Mbarawa
Mabadiliko haya yote ni ndani ya miaka 3 kuanzia 2021 hadi 2023 na hadi sasa hali inazidi kuwa mbaya kwa wananchi sukari 6,000, mafuta usiseme, bei za nauli na malalamiko lukuki.
Ndiyo maana ninaamini kabisa tatizo ni Waziri Mkuu Majaliwa tu.