Search results

  1. Mfikirishi

    Wateule wanatuona Kama Manyani

    Huu mtindo wa wateule kuja hadharani na kujisifia kwa teuzi wanazopata unazidi kushika kasi. Wao wanajisifia kulamba teuzi huku sisi wakiendelea kutuhimiza kujiajiri! Wengine hadi (rejea Naibu Waziri wa Afya Mollel, Nape et al.) wanakosa amani kabisa na kupata viriba tumbo kwa kufuatilia mikeka...
  2. Mfikirishi

    Wasiokuwa na connection husota sana

    Ndiyo! Nchi ishavurugwa sana hii. Narudia, wasiokuwa na connection wataendelea kusota sana! Kuna kipindi hapo nyuma nilisoma post ya Mbasha akidai kuwa Waziri wa afya alimsaidia akapata matibabu ya uhakika! Kama hiyo haitoshi kuna idadi kubwa ya vijana wanajitokeza hadharani kukiri kuwa bila...
  3. Mfikirishi

    Tatizo ni wananchi wanakotoka viongozi

    Baada ya kusoma chapisho hili... Na lile la Abbas Tarimba kutaka ongezeko bei ya mafuta, Naomba niseme mapema... Kama nchi Bado tuna safari ndefu sana! Haya ni matokeo tu! Tatizo kubwa lipo na linaanzia kwa wananchi hadi kwenye mifumo ya uchaguzi! Uchaguzi wa ovyo ovyo tunaishia kupata viongozi...
  4. Mfikirishi

    DOKEZO Uchafuzi Wa Mazingira: Mgodi wa almasi Shinyanga

    Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji. Madhara ya kiafya hayajaripotiwa lakini wananchi wenye taharuki washaanza kuyakimbia makazi yao. Taarifa...
  5. Mfikirishi

    Simbachawene: Askari watakaobainika kuwapiga wafungwa, maabusu au kuwalazimisha kwa kipigo watuhumiwa ili kukiri makosa watachukuliwa hatua kali

    Waziri Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari Magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahubusu magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia yakuwapiga Watuhumiwa au kuwalazimisha kwa kipigo kukubali makosa na kusema atachukua hatua kali kwa wale watakaobainika kutenda vitendo hivyo. ----- 𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮...
  6. Mfikirishi

    Faragha yako inalindwaje?

    Tafadhali someni hapa chini: Privacy Policies za makampuni mbali mbali ambayo wanachakata na kutunza taarifa binafsi za wateja (personal data). Sina upande wa ipi ni nzuri ipi ni mbaya. But be in the know! Information is Power! Ukisoma kwa undani utagundua madalali wa faragha zako. Chukua...
  7. Mfikirishi

    Rais Samia atangazie upya suala la Kikokotoo cha Mafao

    Wakuu: ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa hakuna anayeijua kesho yake. ✓Ifike mahali tukubaliane kuwa kila mtu anazalisha ili ajikwamue kimaisha akiwa bado hai! ✓Ifike mahali tukubaliane vile vile kuwa kuna haja ya kupitia upya suala zima la matumizi ya Kikokotoo kwenye mafao ya wafanyakazi wa nchi...
  8. Mfikirishi

    Dr Hosea: Utaacha Legacy huko TLS ukifanya haya

    1. Simamia TLS ifungue kesi Mahakamani kupinga Ubunge wa Halima Mdee na wenzake. 2. Fungueni kesi Mahakamani kudai Katiba Mpya. 3. Fungueni kesi Mahakamani kudai walioporwa fedha zao na mamlaka za serikali warudishiwe fedha zao. 4. Pelekeni kesi Mahakamani kupinga kikokotoo Cha mafao ya...
  9. Mfikirishi

    CCM imefanikiwa kutugawa; tukagawanyika

    Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa kuliko hata ahadi na ilani ya uchaguzi. Kuna ambao mikopo midogo midogo, bendera na mabango ni...
  10. Mfikirishi

    Tudai midalaho ya Wagombea, ni haki yetu

    Wakuu; Kuna nguvu katika midahalo. Tusipuuze! Ni wazi kwamba kila tukijaribu kuwasikiliza wagombea mbali mbali ni rahisi sana kugundua kuwa wametusahahu sisi kama wananchi wamekuja na ya kwao. Na mara zote ya kwao si ya kwetu. Vipaumbele vyao si vyetu. Ni wazi kuwa ya kwao ni kwa faida yao...
  11. Mfikirishi

    Kwanini wapite bila kupingwa?

    Ndugu wananchi wenzangu bila kujali vyama na imani zetu. Kama kuna suala haliko vizuri na litatusumbua mbele ya safari basi ni hili la "Kupita Bila Kupingwa". Kupita bila kupingwa ni kumpora mwananchi haki yake ya kuchagua. Kupita bila kupingwa ni kumpora mwananchi haki yake ya kumthibiti...
  12. Mfikirishi

    Uchaguzi 2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

    Nimekuwa nikifuatilia kauli za Bernard Membe kuanzia alipoteuliwe kuwa mgombea wa ACT Wazalendo. The man is very soft. So naive. Bora hata Lowassa wa 2015. Yaani anaongea kama ananong'oneza fulani hivi hataki asikike. Anaibua mashaka mengi sana! Nashauri watu wake wa karibu wamjulishe kuwa ni...
  13. Mfikirishi

    Tuhamasishane: Hatua hizi zichukuliwe haraka kukabiliana na Covid-19

    Hili ni wazo fikirishi linahitaji tafakuri ya kina zaidi! Siasa na rangi ya vyama vikae pembeni. Kwa inavyoonekana na kama ilivyotabiriwa awali na WHO; hali ya maambukizi na kusambaza kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya SARS-CoV-2 imefikia hatua mbaya sana! Hivi mpaka usikie...
  14. Mfikirishi

    Barack Obama Endorsement: Akili Kubwa

    Kila mwenye masikio na asikie maneno haya ya hekima na busara kutoka kwa Barack Obama 983554
  15. Mfikirishi

    Child labour, Child Exploitation

    Jamii ya Kitanzania mara nyingi haioni kuwa kuna hatari au madhara katika kuwatumikisha watoto. Nenda migodini... Nenda sokoni... Nenda ufukweni... Zunguka mitaani usiku... Nenda majumbani... Viwandani... Yaani kila kona kuna viashiria vingi sana vya "child labour, exploitation and...
  16. Mfikirishi

    Covid-19: Gharama za matibabu zitabebwa na nani?

    Tunatangaziwa kuchukua tahadhari, lakini pamoja na ilani zote hizo kama taifa tumejipanga vipi kugharamia matibabu ya wote watakaokumbwa na hili janga la Covid-19, kuanzia vipimo na kadhalika? Je, huko kwa Mkemia Mkuu uwezo upo wa kupima sampuli nyingi kiasi gani? Je, hospitali zetu zina...
  17. Mfikirishi

    Serengeti: Ujenzi Holela Hifadhini

    Ulishawahi kusikia ujenzi holela? Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti! (Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!). Hivi NEMC...
  18. Mfikirishi

    2020 Presha! Upinzani wa Tanzania Mpo?

    Kwa ufupi tu; tangu uchaguzi 2015 uishe na rais wa nchi apatikane kumekuwepo matukio mengi sana ya kudhoofisha demokrasia na kunyanyasa makundi fulani fulani ya watu! Kuteka, kudhuru na kuua watu wenye mawazo mbadala ni matukio maarufu sana nchini tangu 2015 hadi leo hii. Na dalili zipo wazi...
  19. Mfikirishi

    Upinzani mkitii maagizo toka juu mmekwisha!

    Kuna kila dalili kuwa punde si punde upinzani utaitwa kwa mwamvuli wa viongozi wa dini (yale mapandikizi). Lengo ni kuwarubuni ili wayakane matamko yao ya kususia uchaguzi! Ni hivi; upinzani mnatakiwa mjue kuwa wananchi wanawachora tu! Na siku zote wanalalamika kuwa vyama vyenu na imani...
  20. Mfikirishi

    Wake Up Tanzanians

    My message to all Tanzanians! We are tired of all the abductions and human trafficking! Enough is enough with favoritism and nepotism! Enough is enough with all the show-offs and cheap media popularity! Now is the right time to wake up and man up to cause disruptions and fight the corrupt...
Back
Top Bottom