Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,489
- 8,533
Waziri Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari Magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahubusu magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia yakuwapiga Watuhumiwa au kuwalazimisha kwa kipigo kukubali makosa na kusema atachukua hatua kali kwa wale watakaobainika kutenda vitendo hivyo.
-----
๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐๐๐ฆ๐๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐๐จ๐ฅ๐ข๐ฌ๐ข ๐ง๐ ๐๐๐ ๐๐ซ๐๐ณ๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฉ๐ข๐ ๐ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ฒ๐๐ง๐ฒ๐๐ฌ๐ ๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐๐ญ๐๐ค๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ ๐ก๐๐๐ก๐๐ซ๐๐ง๐ข ๐ง๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐๐ข๐๐ก๐จ!
๐๐ข๐ฃ๐ฎ๐ก๐ข ๐ง๐ข ๐ฎ๐๐ฅ๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐จ๐ ๐จ ๐๐ฆ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ฅ๐๐ก๐ข ๐๐ข๐ง๐๐๐ฌ๐ข!
๐๐๐ฌ๐ ๐ก๐๐ฉ๐ ๐ง๐๐๐ฆ๐๐๐ญ๐๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ญ๐๐ฆ๐ค๐จ ๐ฅ๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฐ๐ข๐ณ๐๐ซ๐ ๐ฒ๐๐ค๐... ๐ฃ๐๐ฉ๐จ ๐ค๐๐ฅ๐ข๐ญ๐จ๐ ๐ค๐ข๐ง๐ฒ๐จ๐ง๐ ๐. ๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ง๐๐จ ๐ฎ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐!
๐๐: ๐๐๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐๐ง๐๐ฃ๐๐ซ๐ข๐๐ฎ ๐ค๐ฎ๐๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐ ๐๐จ๐ง๐ญ๐ซ๐จ๐ฅ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ค๐๐ฌ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐๐ฆ๐จ๐จ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐ณ๐๐ค๐!
=====
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahabusu Magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia za kuwapiga Watuhumiwa wa makosa mbalimbali na kuwalazimisha kwa kuwawapiga ili wakubali makosa yao vitendo ambavyo ni kinyume na haki za binadamu.
Waziri Simbachawene amesema>>> โVitendo vya namna hii ni kinyume cha haki za binadamu, hii ni kinyume cha utawala wa sheria, adhabu inatolewa kwa mujibu wa sheria, watu waliowekwa kwa ajili ya kutoa adhabu ni Maakimu na Majaji pekeeโ
Pia Simbachawene amesema โsio kila mtu anaweza kujichukulia sheria mkononi na kutoa hadhabu kwa mahabusu au mfungwa tena akiwa kizuhizini kwani zipo taarifa tumezipata lazima tuwaambie ukweli, vitendo vya namna hii ni
dhambi, hawa watu wafungwa na mahabusu wanahitaji upendo na hii imesemwa hata kwenye vitabu vitakatifuโ
Hayo yamejiri wakati wa halfa ya uzinduzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Magereza wakati wa kuweka jiwe la msingi katika Gereza la Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha Novemba 15, 2021
โKitendo wanachokifanya hawa watu sio sahihi, umetoka huko umegombana na mke wako, mmeo unaenda kumalizia hasira zako kwa mfungwa au mahabusu, hawa watu wana haki zao, wana heshima zao sasa wewe kazi yako ilikuwa kumkamataโ-Waziri Simbachawene
โNawaomba sana tubadilike kwani watu wengi sasa hivi wana changamoto nyingi ikiwemo za kiafya, ukimgusa tu teke la mbavu anakufa. Niwakumbushe tu kuwa
sisi wote hapa ni wakosaji watarajiwa iwe kwa kupanga au kwa kusababishiwa kosa, sasa utakuja kutambua umuhimu wa haki hizi na wewe ukiingia kwenye
mlolongo baada ya kupata matatizo.โ-Waziri Simbachawene
Mwisho Waziri Simbachawene ametoa wito kwa Wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi pindi wanapomkamata mhalifu yeyote โVyombo vyetu vipo imara, peleka malalamiko yako kituo cha Polisi na mtuhumiwa wako atakamatwa na sheria itafuata mkondo wakeโ