Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,209
- 9,412
Kuna kila dalili kuwa punde si punde upinzani utaitwa kwa mwamvuli wa viongozi wa dini (yale mapandikizi).
Lengo ni kuwarubuni ili wayakane matamko yao ya kususia uchaguzi!
Ni hivi; upinzani mnatakiwa mjue kuwa wananchi wanawachora tu!
Na siku zote wanalalamika kuwa vyama vyenu na imani waliyoweka kwenu ndo factors zinazowakwamisha kwenye harakati za kufikia demokrasia kamili!
Mnatoa matamko then ghafla mnayatengua na kulamba matapishi yenu!
This time wananchi wamechoka!
Mkiitwa na mkikubali kwenda wananchi hawataacha salama.
Be squarely warned!
Viongozi pandikizi wa dini zote na wale wote mnaojipendekeza kwa kificho na wazi wazi mkae mkijua kuwa upepo utawabadilikia very soon!!
cc Zitto Yericko Nyerere freeman Mbowe