Tatizo ni wananchi wanakotoka viongozi

Tatizo ni wananchi wanakotoka viongozi

Mfikirishi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,285
Reaction score
13,571
Screenshot_20230419-174645.png

Baada ya kusoma chapisho hili... Na lile la Abbas Tarimba kutaka ongezeko bei ya mafuta,
Naomba niseme mapema... Kama nchi Bado tuna safari ndefu sana!
Haya ni matokeo tu!
Tatizo kubwa lipo na linaanzia kwa wananchi hadi kwenye mifumo ya uchaguzi!
Uchaguzi wa ovyo ovyo tunaishia kupata viongozi wa ovyo ovyo!
 
View attachment 2593153

Sasa mtu wa kamali na eti amefunga unadhani anawaza nini? Zaidi ya upuuzi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom