Barack Obama Endorsement: Akili Kubwa

Mfikirishi

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,492
8,537
Kila mwenye masikio na asikie maneno haya ya hekima na busara kutoka kwa Barack Obama

983554
 
Biden anaonekana dhaifu hata attacks anazopata kwenye social media ni nyingi,kidogo kama obama anaokoa jahazi,Bernie Sanders alikuwa na nguvu sana alipotoka wengi waliumia ,Democrats sijui huwa wanachaguaje hata uchaguzi uliopita ilikuwa hivi hivi Trump akapita kirahisi
Yaani hata SARS-CoV-2 na Covid-19 vimekuja kumsaidia amshinde Trumpet

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Biden anaonekana dhaifu hata attacks anazopata kwenye social media ni nyingi,kidogo kama obama anaokoa jahazi,Bernie Sanders alikuwa na nguvu sana alipotoka wengi waliumia ,Democrats sijui huwa wanachaguaje hata uchaguzi uliopita ilikuwa hivi hivi Trump akapita kirahisi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Una hoja nzito sana... Nimekuelewa...
Nahisi umemuelewa Barack Obama...
 
Biden anaonekana dhaifu hata attacks anazopata kwenye social media ni nyingi,kidogo kama obama anaokoa jahazi,Bernie Sanders alikuwa na nguvu sana alipotoka wengi waliumia ,Democrats sijui huwa wanachaguaje hata uchaguzi uliopita ilikuwa hivi hivi Trump akapita kirahisi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ni corruption tuu, hao viongozi wa dems wanahongwa na makampuni ili waweke mtu atakaye endeleza mfumo wa sasa.

Makampuni hayo pia yanatumia pesa nyingi kwenye vyombo vya habari ili kuwapaka matope watu wasiowataka. Establishment hawampendi Bernie kwa miaka mingi tuu.

kwenye uchaguzi wa sasa walianza kumpotezea kwenye media lakini wakashindwa, ikabidi waibe kura ili wamweke mtu wao.
 
Hata mimi niliumia sana Bernie alipoachwa na Clinton last time and again this time alivyokuwa the most competent and experienced candidate compared to all aspirants.
Barack Obama amedhihirisha ambavyo Bernie alikuwa the best candidate...
Pamojana hayo... Unaonaje uwezo wa Barack Obama kujenga hoja na kumfanyia mgombea endorsement??
Binafsi nimejifunza kitu kikubwa once again from this genius mind... Nadhani wanasiasa wetu pia wajifunze...
 
Back
Top Bottom