Uchaguzi 2020 Bernard Membe awe mtazamaji tu kwenye kuwania Urais

Mfikirishi

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,492
8,537
Nimekuwa nikifuatilia kauli za Bernard Membe kuanzia alipoteuliwe kuwa mgombea wa ACT Wazalendo.

The man is very soft. So naive. Bora hata Lowassa wa 2015. Yaani anaongea kama ananong'oneza fulani hivi hataki asikike. Anaibua mashaka mengi sana!

Nashauri watu wake wa karibu wamjulishe kuwa ni bora mara 100 akajiweka pembeni hadi baada ya uchaguzi.

Yaani anazidiwa hadi na JPM.
 
Kwan hata Lisu zaidi ya kuwapigia stories huko majukwaani, ana nini?

Lissu amerejea na hamasa na amsha amsha zenye manufaa makubwa sana kwa Taifa letu... Bila huyu Lissu uchaguzi wa mwaka huu ungerekodi idadi ndogo ya wapiga kura ambayo isingetosha kumpa mgombea yeyote ushindi wenye ridhaa ya kuongoza...!!

Tendeni haki... na ionekane inatendeka... tofauti na hapo sidhani kama kutakuwa salama...
 
Ameshaingia kwenye 18 za wazee wa fitina! Kama msaidizi wake aliyesafiri nae nje ya nchi anashikiliwa kwa zengwe la utakatishaji fedha, yeye atapona kweli?

Lissu tafadhali, endelea kuwanyoosha hawa maharamia! Ila uwe makini sana. Hawa watu ni wabaya! Usikute watu wa kitengo cha uvccm wako kazini kitambo wakiumiza vichwa vyao ni kwa namna gani watakunasa, kama wanavyo umiza kichwa kwa Kigogo2014!
 
Homeboy Membe kwa sasa anachokifanya ni kuwachanganya CCM huku Lissu akiwapiga spanner.

Yaani ACT hawana mpango kabisa na kampeni za Uraisi wanapiga kampeni za wabunge, technically wamemuunga mkono Lissu. Ila huu mchezo umechezwa smart sana maana pale mwanzo CCM walishindwa wadili na nani Lissu au Membe kuja kustuka gari la Lissu lipo speed ya 5G.
 
Homeboy Membe kwa sasa anachokifanya ni kuwachanganya CCM huku Lissu akiwapoga spanner.

Yaani ACT hawana mpango kabisa na kampeni za Uraisi wanapiga kampeni za wabunge,technically wamemuunga mkono Lissu. Ila huu mchezo umechezwa smart sana maana pale mwanzo CCM walishindwa wadili na nani Lissu au Membe kuja kustuka gari la Lissu lipo speed ya 5G.

Na wananchi wanavopenda kumsikiliza Lissu... Yaani hawasombwi kwenye magari ya ngombe wala mizigo... Hawapewi matamasha wala fiesta.

Lakini bado wanajaa kuliko kwingineko!
 
Na wananchi wanavopenda kumsikiliza Lissu... Yaani hawasombwi... Hawapewi fiesta... Lakini bado wanajaa kuliko kwingineko...!!

Lissu anawajua Watanzania vjzuri sana,wabongo hawapendagi mambo magumu kama anayoongea Lipumba na Zitto. Wabongo wanapenda vijembe na gossip,CCM walikuwa wanatumia sana style hii sasa safari Lissu anawapiga spanner kwa style hiyo huku Magufuli akinadi mandege na reli.

Lipumba alikuwa anaongea point tu lakini Mkapa akija anasema huyo professor uchwara tu hana anacbokijua,Mara hana mke wala familia. Mwaka huu CCM wanalia wao eti wanatukanwa.
 
Lissu anawajua Watanzania vjzuri sana,wabongo hawapendagi mambo magumu kama anayoongea Lipumba na Zitto. Wabongo wanapenda vijembe na gossip,CCM walikuwa wanatumia sana style hii sasa safari Lissu anawapiga spanner kwa style hiyo huku Magufuli akinadi mandege na reli.

Lipumba alikuwa anaongea point tu lakini Mkapa akija anasema huyo professor uchwara tu hana anacbokijua,Mara hana mke wala familia. Mwaka huu CCM wanalia wao eti wanatukanwa.

Balaa taslimu na nusu yake. Hakika maji yamekorogeka yakalowa.
 
Kuna watu wanaakili duniani hapa mpaka balaa.

1. Membe mzee wa strategy wamesuka ikasukika wazee wameshindwa kung’amua mtego wao na tayari anategea ili mzee lissu sera zake ziwakae watanzania mioyoni mwao ndipo aamue kutangaza rasmi kwamba Mzee baba Lissu amamuunga mkono.

2. Mzee membe anasuka nyavu kikamilifu huko chini hao hao wanaowekwa mnaodhani watiifu kumbe wapo upande wa pili.

3. Hivi leo matendo aliyotendewa Kinana, au nauye, makamba,kikwete unadhani wapo upande wa mkulu? Kalaga bao mzee atashangaa na Roho yake ukishangaa ya Kikwete utayaona ya lowassa.

4. Sasa watu washamaliza mambo ya jukwaani sasa wapo huko kwa mipango ya ushindi.
Kuna mtu aliwahi niambia dont trust people
 
Bora afanye hiyo mipango na vipenyo vyake... Lakini majukwaani kunahitajika mtu very vocal anayewapa watu matumaini na hamasa... Mtu anayewaamsha wasilale... Mtu anayeita jembe jembe na beleshi beleshi... Mtu aliyetayari kupambania haki ikiporwa bila kuwaachia miungu...
 
Lissu amerejea na hamasa na amsha amsha zenye manufaa makubwa sana kwa Taifa letu... Bila huyu Lissu uchaguzi wa mwaka huu ungerekodi idadi ndogo ya wapiga kura ambayo isingetosha kumpa mgombea yeyote ushindi wenye ridhaa ya kuongoza...!!

Tendeni haki... na ionekane inatendeka... tofauti na hapo sidhani kama kutakuwa salama...
Kuliko huyuu Lissu, bora ata Membe mara miamojaa, leo akiwa hapa kwetu Sumbawanga kadanganya eti treni ya Kaliua hadi Mpanda haifanyi kazi. Halafu akasema atajenga reli hadi momba, sijui kwa nini huyumgombea anajichanganya kila siku, wao chadema si hawapendi ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kwamba nikuhalibu fedha za umaa? Sasa nawao wakotayari kwa hayomatumizi mabaya ya fedha??
 
Kuliko huyuu lisu, bora ata membe mara miamojaa, leo akiwa hapa kwetu sumbawanga kadanganya eti tren ya kaliua hadi mpanda haifanyi kazi. Halafu akasema atajenga reli hadi momba, sijui kwa nini huyumgombea anajichanganya kila siku, wao chadema si hawapendi ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kwamba nikuhalibu fedha za umaa? Sasa nawao wakotayari kwa hayomatumizi mabaya ya fedha??

Wa kwenu anajichanganya hadi anatukana hasa asipomeza dawa zake zile zinazomuumua sura...
 
NAYE NDIYE ALIYETUKANA WATUMISHI WA UMA NI TAKATAKA ZA JALALANI AKIWA PALE MBEYA MJINI??

Wa kwenu anatukana akina mama, akina baba, watoto, vijana, wanawake, wanaume, wasichana, wavulana... Yaani wa kwenu ni mtukanaji, mdhalili na muuaji numberi 1.

Maguli kuwa rais ni uthibitisho wa ombwe la uongozi huko ccm...ndo maana anawapanda atakavyo...
 
Back
Top Bottom