zito kabwe

  1. R

    Akili ya Zitto Kabwe kuwa sheria za uchaguzi zinakidhi haja ni "Tukose wote"

    Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki. Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  3. F

    Zitto Kabwe kimsingi ACT ndiyo itakufa zaidi kwa wewe kuondoka

    Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono. Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie...
  4. DR Mambo Jambo

    Je, unajua sauti inayotokea unapobinya maungio (joints/knuckes) ya vidole hasa vya mikono haitokani na misuguano ya mifupa?

    Habari za Usubuhi! Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda ile sauti inayolia 'Ta' 'Ta' na wengi huamini Kwamba Sauti ile inatokana na msuguano wa mifupa...
  5. M

    Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

    Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia...
  6. The Burning Spear

    Zitto Kabwe katika ubora wake wa unafiki

    Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe Zitto Kabwe: Kauli ya kwanza "Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa." *** Kauli ya pili "Unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi? Maoni ya mchumi ni kwamba wala hatukopi, kwasababu ukiangalia viashiria vya...
  7. KAKADO

    Wanajichafua wakidhani wanamchafua

    Kumekuwa na Juhudi nyingi kufuta Mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli,Jitihada hizi zinaonekana waziwazi hasa kutokutambua mchango wake kwenye Miradi aliyoiacha, Katika Daraja jipya la Wami aliloliasisi tumeona mzinduzi alivyokwepa kutambua mhasisi dr Magufuli. Katika ukaguzi Wa Meli tumeona...
  8. T

    Zitto Kabwe: Nakushukuru Rais Samia kwa kudumisha utulivu wa kisiasa kwenye taifa letu

    Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi. Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono. --- "Rais wetu ana dhamira njema sana...
  9. Corticopontine

    Kama Zitto Kabwe unaweza kununuliwa ukipewa nchi si utatupiga mnada?

    Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo. Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati Dr. Magufuli ingawa ukweli unaonekana wazi kuwa Maiti ya shujaa wetu ina nguvu kuliko watu hao walio...
  10. Linguistic

    Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

    Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito. . Namchukia sana kutoka rohoni mwangu. . Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM. . Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

    Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
  12. C

    Mambo yanayoashiria kuhusika kwa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo na ufisadi wa NSSF

    1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki. 2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja...
  13. W

    Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo kilianzishwa na watu watatu tu; Mimi, Kitila Mkumbo na Mwanaharakati mmoja wa kike

    Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na ameichambua bajeti kuu ya Serikali iliyowasilishwa week iliyopita Bungeni. Kwa...
  14. A

    Changamoto katika ajira mpya za TAMISEMI

    Wajuvi wa mambo vipi mbona kumekuwa na changamoto sana katika hiz ajira za TAmisemi mpaka inaleta hali ya kuhisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. naanza kupata hisia kuwwa huwenda pazia limeandikwa kuwa wote wenye vigezo wanaweza kuibgia ila nyuma ya pazia kuna ukuta na wala sio mlango...
  15. M

    Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

    Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi. Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na...
  16. The lost

    Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

    Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
  17. Barbarosa

    Kangi angalau alijaribu kuwadhibiti ST, huyu Simbachawene hamna kitu labda mengine!

    Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
  18. MIMI BABA YENU

    Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
  19. Wacha1

    Opposition parties in Tanzania need to join forces when the country goes to the polls

    The Tanzanian opposition must unite to defeat ‘medieval feudal lord’ John Magafuli Opposition parties in Tanzania need to join forces when the country goes to the polls, to change the course of history and ensure that future generations get the chance to enjoy a brighter life. A pivotal moment...
Back
Top Bottom