almasi

Almasi (kwa Kiingereza: Diamond) ni madini ya thamani kubwa sana na ndiyo dutu (substance) asilia ngumu zaidi inayopatikana duniani
  • Asili na Muundo: Almasi inaundwa na elementi moja tu, ambayo ni Kaboni (Carbon). Inatengenezwa asili chini ya ardhi katika kina kirefu sana, ambapo kuna joto kali na shinikizo kubwa (pressure) kwa mamilioni au mabilioni ya miaka kabla ya kusukumwa karibu na uso wa dunia kupitia milipuko ya volkano.
  • Ugumu wa Kipekee: Kwenye kipimo cha ugumu cha madini (Mohs scale), almasi ina alama 10/10. Ni ngumu kiasi kwamba huwezi kuikata au kuichora kwa kutumia kitu kingine chochote isipokuwa almasi nyingine
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Dhahabu na Almasi ni mapambo kama huna akili: kwa nini nchi zisizo na madini ni mabosi wetu? 💎🧠

    Wadau wa JamiiForums, Nimekaa nimefikiri, nimegundua kuwa Waafrika, na hasa sisi Wabongo, tuna ugonjwa mmoja hatari sana: Ulemavu wa Fikra. Tunajisifia tuna rasilimali, tuna dhahabu, tuna almasi, tuna tanzanite, tuna mbuga... lakini bado tunapishana kwenye korido za benki za mabeberu kuomba...
  2. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Jamani hii ni almasi au vipi?

    Jamani ni nini hiki mbna sikielewi.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Padre Lui Shayo wa Jimbo Katoliki Moshi aadhimisha Jubilei ya almasi (miaka 75) ya Upadre akiwa na umri wa miaka 106

    Tumsifu Yesu Kristo! Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo. Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950. Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba tafadhali wapokeeni Steven Mnguto na Almasi Kasongo, mliwaponza nyinyi.

    Kujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine bado wako TFF na bodi ya ligi, lakini kwakuanzia naomba muwapokee Hawa kama Mashujaa wenu. Wapeni...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjiolojia Daniel Mapunda: Almasi, dhahabu zinaipaisha Shinyanga, yafikia 82% ya lengo ukusanyaji maduhuli

    MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Shinyanga yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Shilingi Bilioni 21.5 Mkoa wa Shinyanga ulipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 26.2 ambapo mpaka mwishoni mwa mwezi...
  7. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ajabu wanaosomea madini Tanzania hadi wanamaliza vyuo wanakuwa hawajawahi kuiona dhahabu wala almasi laivu

    Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania! Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc) Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tanzanite ni Adimu kuliko Almasi; Tofauti ya Bei ni Promotion na Huenda Bei yake ikazidi kupaa

    Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba Almasi ni Adimu sana na inapatikana kwa shida na sehemu chache sana (Ingawa ukweli Almasi ni nyingi ila...
  10. Brojust

    JamiiForums Tanzania Geolojia inasemaje katika hili, Je kwanini Zanzibar hakuna madini ya dhahabu, copper au Almasi?

    Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa. Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana geolojia aliye gundua dhahabu zanzibar ? Mbona nishasikia kwamba hapa hapa duniani kuna visiwa vina...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Botswana kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi . Lengo ni kuzuia Almasi kutoka Urusi kuuzwa nchi za G7

    Nchi ya Botswana inatarajia kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi zinazouzwa kwenye nchi za G7 ifikapo mwakani 2025. Hii inakuja kutokana na hatua ya nchi za G7 kuamua kutonunua almasi kutoka Urusi. Kutokana na katazo hilo, kila almasi inayonunuliwa na nchi za G7 itatakiwa kufanyiwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
  13. aise

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?

    Hello Great thinker wa JF, Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo? Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo? Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stahiki kandamizi kuhusu kupunguzwa kwa wafanyakazi wa mgodi wa Almasi wa Mwadui (Williamson Diamonds Limited)

    Mnamo mwezi Agosti kuliibuka tetesi kwamba kutakuwa na kupunguzwa kwa wafanyakazi katika mgodi wa Williamson Diamonds Limited uliopo katika umiliki wa Petra Group kutokana na sababu za kushuka kwa bei ya almasi katika soko la dunia. Hata hivyo baada ya vikao kufanyika pamoja na voingozi wa...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Botswana yagundua almasi kubwa yenye uzito wa karati 2,492, inaaminika kuwa ya pili kwa ukubwa duniani

    Jiwe kubwa la almasi lenye uzito wa karati 2,492, ambalo linaaminika kuwa la pili kwa ukubwa kuwahi kupatikana duniani, limegunduliwa nchini Botswana. Jiwe hili kubwa linaaminika kuwa ni kubwa zaidi kuwahi kupatikana tangu almasi ya Cullinan yenye uzito wa karati 3,106 ilipogunduliwa Afrika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi inahitaji Mtendaji Mkuu Kijana, Almasi Kasongo hana jipya

    Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu. We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni almasi inayong'aa yenye kuleta matumaini kwa Watanzania

    Hakuna asiyemjua nguli huyu aliejipambanua kwa umahiri kwenye medani za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Tundu Lissu ni mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa utetezi wake wa demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Amekuwa Mbunge nchini Tanzania na amewahi...
  18. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Almasi (diamonds )

    Almasi au diamonds ni aina ya vito vyenye thamani kubwa sana vinavyoundwa na kaboni iliyoshinikizwa kwa muda mrefu chini ya ardhi. Almasi hutumiwa sana katika mapambo kama pete za kuchumbiana au za ndoa, mikufu, na masanduku ya vito. Pia, hutumiwa katika viwanda kama vile elektroniki kutokana...
  19. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Jiolojia Unathibitisha Uwezekano wa Rasilimali Muhimu katika Maeneo ya Kimberlite ya Tanzania: Je, Almasi Zaendelea Kupatikana?

    Kimberlites ni miamba ya kipekee ambayo mara nyingi hufanana na mianzi ya juu ya koni na ambayo ina uwezekano mkubwa wa kuwa na almasi. Hii ndio kimberlite ilivyokamili kabla ijapata mabadiliko ya kijiolojia: UGUNDUNZI: Kimberlite iligunduliwa kwa mara ya kwanza huko Kimberley, Afrika Kusini...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Pateni kuitambua saa aina ya Bulgari Serpenti Seduttori: ina vipande 197 vya almasi, 2 vya rubi adimu na karati 16 za sapphire (zumaridi)

    Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania 110,500,000/= (millioni mia moja na kumi na laki tano)! Soma zaidi hapa chini ili kujua imetengenezwa...
Back
Top Bottom