Kati ya vijana wanao ongoza kufarijiana kwa kipindi hiki cha kampeni Ni Vijana wa pale ufipa.

Japo hata mtoto wa miaka5 anajua kabisa rais wa JMT baada ya 28oct2020 ni jiwe.

Ok Ngoja niungane na Hawa vijana kuwafariji: Watanzania twende na lissu Rais wa awamu ya sita wa JMT😁😁😁
 
Inasikitisha Sana. Ila wakae wakijua siku zote ya kuwa nguvu ya umma inapoamua jambo daima huwa haishindwi hata mara moja. Jibuni hoja zake kama vile anavyozitoa hadharani. Hizo njama mnazompangia hazitafanikiwa.

Kama ni wivu kwa kuwa Tundu Lissu ameonekana kuwa na mamilioni ya wafuasi hawataweza kuififisha nyota yake kwa mtindo huo.

Watanzaia wameamua safari hii wapo na Tundu Lissu katika boti moja wakiwa naye hadi destination au mwisho wa safari yenyewe ambapo ni pale mjengoni iwe ni Dar au Dom. Viva Tundu Lissu.
Asiyemuunga mkono RAIS MTEULE TUNDU LISSU ni mchawi, tena mchawi wa daraja la kwanza.
 
1601308978080.png

maelfu na malaki 😂 😂 😂 , leo ndo kanyoosha matusi kwa polisi, mkuu wa tume! yaaani jamaa bana
 
Watanzania wameamua safari hii wapo na Tundu Lissu katika boti moja wakiwa naye hadi destination au mwisho wa safari yenyewe ambapo ni pale mjengoni iwe ni Dar au Dom. Viva Tundu Lissu.
Mkuu Sky Eclat , hivi ndivyo Watanzania tulivyo, hata ile 2015, kuna watu kama wewe, walisema hivi hivi kumhusu Lowassa, na watu, nikiwemo mimi, tukapanda MV Lowassa, lakini mwisho wa siku waliishia kulia na kushangaa. Hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya kampeni sio kura!.

Keep hopping for the best, but get prepared for the worst!.

Lissu ni mgombea tuu wa urais, lakini rais ni Magufuli!.

P
 
Mkuu Sky Eclat , hivi ndivyo Watanzania tulivyo, hata ile 2015, kuna watu kama wewe, walisema hivi hivi kumhusu Lowassa, na watu, nikiwemo mimi, tukapanda MV Lowassa, lakini mwisho wa siku waliishia kulia na kushangaa. Hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya kampeni sio kura!.
Keep hopping for the best, but prepare for the worst!.
Lissu ni mgombea tuu wa urais, lakini rais ni Magufuli!.
P
Unaongea kama vile unayafahamu matokeo Pascal Mayalla
 
Mkuu Sky Eclat , hivi ndivyo Watanzania tulivyo, hata ile 2015, kuna watu kama wewe, walisema hivi hivi kumhusu Lowassa, na watu, nikiwemo mimi, tukapanda MV Lowassa, lakini mwisho wa siku waliishia kulia na kushangaa. Hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya kampeni sio kura!.
Keep hopping for the best, but prepare for the worst!.
Lissu ni mgombea tuu wa urais, lakini rais ni Magufuli!.
P
Hivi mzee unadhani waTz hawako dynamic?
Kuna makundi tunatumia free mode(freebasic) miezi miwili hatuweki vocha,tukisikia sentence kama hiyo kwako hapo chini huwa tunatamani kimbunga kiwachukue mpelekwe Equatorial Guinea mkaone matunda ya udictator uliokomaa
 
Back
Top Bottom