kuuza nje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Tahadhari: Sarafu ya pesa ya nchi yoyote inapatikana kwa kubadilishana na bidhaa tujikite kuzalisha bidhaa na kuuza nje

    Ndugu na marafiki, habari za Jumamosi ya leo, Tarehe 02/09/2023. Ndugu zangu, leo napenda kutoa elimu moja juu ya sarafu za mataifa mengine, bila kusahau sarafu yetu ya shilling. Zipo sarafu nyingi hapa duniani, kama vile Yuan ya China, Yen ya Japan, ruble ya Urusi, dola ya Marekani, euro...
  2. bongo dili

    Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

    Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi. Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao. Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda...
  3. Allen Kilewella

    Kwanini mazao yote ya kibiashara tunategemea kuuza nje ya nchi?

    Kabla ya Mwaka 1968 Tanzania ilikuwa ni mojawapo ya nchi yenye akiba kubwa ya fedha za kigeni. Zaidi ya asilimia 40 ya fedha hizo zilitokana na kuuza nje zao la Mkonge. Bei ya zao la mkonge lilipoporomoka na uchumi wa Tanzania nao ukatisika. Ni kwa nini soko la ndani siyo imara sana na la...
  4. Analogia Malenga

    Zanzibar yapiga marufuku kuuza (ku-export) mchele na sukari nje ya visiwa hivyo

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote. Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023. "Kwa kutekeleza...
Back
Top Bottom