CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.

Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi.

Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi.

Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi.

Mungu ni Mwema wakati Wote!
 
Yaani watu wapatao 59.2Mn wa Tanzania Bara wawe sawa kimaamuzi na 1.9Mn wa kule Visiwani! Kama serikali tatu hazikubaliki kwa sasa basi ni lazima Zanzibar ikubali uwepo wa serikali moja.

Kama Tanganyika ilipoteza hadhi yake ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT toka mwaka 1964, ni vyema sasa nayo Zanzibar ipoteze hadhi yake ya sasa ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT, na ianze rasmi kufahamika kama mkoa wa Visiwani. La sivyo tugawane fito, na kila upande uchukue hamsini zake
 
Zanzibar imo kwenye katiba ya Tanzania japo haifuati yote waliyoyapitisha ndani ya katiba ya Tanzania, huu ni ujuha.
 
Yaani watu wapatao 59.2Mn wa Tanzania Bara wawe sawa kimaamuzi na 1.9Mn wa kule Visiwani! Kama serikali tatu hazikubaliki kwa sasa basi ni lazima Zanzibar ikubali uwepo wa serikali moja.

Kama Tanganyika ilipoteza hadhi yake ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT toka mwaka 1964, ni vyema sasa nayo Zanzibar ipoteze hadhi yake ya sasa ya kutambulika kama nchi ndani ya JMT, na ianze rasmi kufahamika kama mkoa wa Visiwani. La sivyo tugawane fito, na kila upande uchukue hamsini zake
Huwezi kuwalazimisha kama ambavyo wao hawakulazimisha Tanganyika ife!
 
Tambua kwamba wazanzibar hawaitaki hii katiba iliyopo maana inawabana, wanataka hiyo mpya ambayo inawapa uhuru katika muungano.
 
Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga

Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi

Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi

Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi

Mungu ni Mwema wakati Wote!
WATANZANIA ni WAJINGA TU hata hao tunaodhani wameelimika mambo yao ya kijinga tu Ulieyeelimika Utakunywa Huu uchafu?
JamiiForums625727970.jpg
 
Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga

Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi

Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi

Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi

Mungu ni Mwema wakati Wote!
- Tena Zanzibar ndio wakereketwa wa Katiba mpya, wao wanataka serikali 3 ambazo hizo serikali 3 zinapatikana kwa Katiba mpya sio Katiba hii ya '77
 
ACT Wazalendo ndio wanataka serikali 3 na mzee Wassira alimwambia Zitto Kabwe pale TBC Sera ya CCM ni serikali 2 kuelekea 1 Ukitaka 3 hakuna Katiba mpya
 
  • sio ACT wazalendo ni wazanzibar ambao wamehoji Muungano tangu 1980
  • Wasira alitoa hoja gani kutetea serikali hizo mbili/1? Serikali 1 practically haitekelezeki
 
Yaani watu wapatao 59.2Mn wa Tanzania Bara wawe sawa kimaamuzi na 1.9Mn wa kule Visiwani! Kama serikali tatu hazikubaliki kwa sasa basi ni lazima Zanzibar ikubali uwepo wa serikali moja....
kweli kabisa haiwezekani nchi yenye idadi kubwa ya watu mambo yake yaamliwe na watu wachache ndo maana kuna msemo wa wengi wape.
 
Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.

Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi...
Zanzibar walianza kudai KATIBA mpya hata kabla ya Bara.

Usiwe na shaka, halipo litakalofichwa yote yatakuwa wazi.
 
  • sio ACT wazalendo ni wazanzibar ambao wamehoji Muungano tangu 1980
  • Wasira alitoa hoja gani kutetea serikali hizo mbili/1? Serikali 1 practically haitekelezeki
hakuna lisilowezekana duniani kama unafikiri hivyo basi wanzanzibari lazima wakubaliane na serikali tatu.
 
  • sio ACT wazalendo ni wazanzibar ambao wamehoji Muungano tangu 1980
  • Wasira alitoa hoja gani kutetea serikali hizo mbili/1? Serikali 1 practically haitekelezeki
Unajua kwanini AG wa Zanzibar Othman Masoud alifukuzwa Kazi na Rais wa Zanzibar wakati wa Mchakato wa Katiba Mpya 2014?
 
Zanzibar 50% wakati 50% ya wazanzibari wako Bara, wao wapewe 25%
 
Back
Top Bottom