BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,420
Niliwahi kusema Muungano wa Tanzania una makosa na mapungufu mengi kiutekelezaji tunakoenda tutake tusitake utavunjika kama hautafanyiwa mabadiliko kufatia kero za kimuungano zilizopo.
Mfano;
1. Mzazibari anaweza kumiliki ardhi bara lakini mtanganyika Hilo kwa Zanzibar haliwezekani.
2. Mzanzibari anaweza kupewa Uongozi bara lakini Mtanganyika hilo haliwezekani. Mfano watu wamehoji sana Shaka kupewa Ukuu wa Wilaya Tanzania bara wakati Mtanganyika huwezi kuwa Mkuu wa Wilaya Zanzibar.
3. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikikusanya kodi Zanzibar fedha hizo zinabaki huko kwa ajili ya matumizi ya Zanzibar, pia kuna Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) ambayo nayo inakusanya mapato lakini pia nayo yanabaki kuwa kwenye matumizi ya Zanzibar.
4. Kutozwa kodi ya bidhaa pale unaponunua bidhaa kutoka upande mmoja wa Muungano.